Bwana Banzi
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 397
- 196
Na ukizaa watoto wa kike tupu, wataitwa kina mwenda na watoto wako wakiolewa na wapare tena ukoo utakuwa umekufaWewe mshana, umeoa Mluguru kutoka koo ya wamwenda. Watoto zako wataitwa kwa Mtala wako, ila mtoto wako wa kiume akizaa watoto wake wakiume ataitwa Mkude( Kung'aro) na Wakike ataitwa Mwenda. Sababu huo ndio ukoo wa mama yake yaani wamwenda..ukoo unatoka kwa mama ila unabebwa na mtoto wa kiume sio wa kike