075656 tgt
Member
- Sep 30, 2023
- 95
- 136
Je na wakamba? Maana nmepata pisi yakikamba hapa nina malengo nayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100% upo sahihi! Wanaume wa kisambaa wanazingua sana wanapenda kulelewa..wanawake ndo wachapa kazi sana.Wanaume wa kisambaa hawatunzi na kulea familia zao hilo linajulikana hata kwa wadada wa kisambaa wanaogopa kuolewa nao wanaolewa na makabila mengine
Japo sio mfuasi wa mambo ya kikabila wala makabila na siamini katika ukabila. Ila Nilishadate na wapare wawili haaa aisee hapo kwenye umalayaa 👐👐Wapare kabila la hovyo sana acha kujifanya balozi wao wana roho ya umaskini, uchoyo, ubahili, umimi, jinsia zote Malaya mbwa, wachawi sanaa, wapare ni nyoka
Aah wapi hizo tabia za matrilineal societies ni makabila machache sana hapa Tz SIYO ZA KIBANTU, waluguru na wamakonde hayafiki hata makabila 10, na yanaongoza kwa ujinga na umasikini makabila ambayo mtoto ni wa mama na mjomba, wengine wameanza kufuata hv karibuni kutokana na KUPOROMOKA KWA MAADILI NA UHUNI WA MJINI, yaani makahaba flani mama ana watoto watano kila mtoto na babake na hadumu ktk mahusiano, ndiyo mtoto anakuwa wa mama tu.Asilimia kubwa uliyoyataja ni tabus za kibantu au watu weusi.
Afrika mtoto asilimus kubwa ni wa mama.
mjomba angu aliooa mchaga walipo walipo achana aliondoka na watoto wote tena wakubwa.
Ukizaa na mwanamke wa kigoma siku mkiachana ujue hao watoto sio wako mfano Diamond, Omydimpo. Makabila mengi ndio hivyo.
Wanaume hatuna cheti tumezaliwa kunyonywa tu. Unanyonywa na mke, watoto, ndugu majirani serikali, Marafiki na kila anae kuona.
Ukweli unauma!! Hata wanyama wana makabila, mbwa wapo hodari kwa kuwinda ulinzi kupigana kunusa kuremba nk sasa wewe chukua mbwa wa urembo weka akulindie nyumba. Hata ktk biashara ukienda kariakoo wamejaa WACHAGGA, WAKINGA na Wapemba, nenda ktk Riadha wamejaa WAMBULU, ambao ktk football huwakuti, nenda ktk elimu wamejaa wahaya , wachaga, wangoni na wanyakyusa hiyo ni Sayansi , kabila lina matter kuchangia tabia ya mtu na ktk every general rule there are exceptions .Watu hawaoi kabila huwa wanaoa mtu
Mleta mada hazimo kichwani
UrewediSijaoa mluguru mimi ni mpare na nimeoa upareni kwetu. Sisi wapare ni patrilineal na ndio uanaume sijawahi kuwaza maishani kuwa hata na mchepuko wa kiluguru achilia mbali mke kwasababu nawafahamu tabia zao. Waluguru ni matrilineal kwahiyo kama umeoa huko pole sana usishangae hata watoto wako wakaitwa surname za majina ya uluguruni KWA wajomba zao.
PembaUongo ,mfano mashoga na wasagaji walioko.Tanzsnia tabia zao hizo wamezitoa kabila gani Tanzania?
Hata nyinyi wapare msijisifu sana.Mwanaume wa kiluguru anapewa kiwanja ukweni tena pembeni ya wakwe zake na yeye bila aibu anajenga nyumba ukweni na kuishi hapo bila aibu kitu ambacho sisi wapare hakiwezekani kabisa yani kujenga na kuishi KWA wakwe!
Wasambaa wanaojielewa ni WA korogwe wale wa milimani acha tu mzee.Tate Vipi kwa upande wa kule milimani kwenu usambaani,lushoto?
Maana nina msambaa hapa aiseeh ni mvumilivu sijawahi ona, sio wachoyo kabisa,roho nzuri, ana mapenzi ya kweli, alafu kingine aiseeh ukioa msambaa unatoka kimaisha maana ni wachakarikaji sana..
Nilishazunguka huko lakini huyu msambaa kanituliza aiseeh..! Nina 3 years nae sijawahi chepuka..mmmh[emoji848]
Nyie washana si ndio wanasemaga nyie ni MLANGO WA 8Mfano mimi ni mpare na ukoo wangu ni mshana nikioa mwanamke wa kiluguru wale watoto ni wa nani? Je wataitwa KWA ubini wa waluguru (banzi mloka kobelo mkude) au ataitwa KWA koo za kipare (mshana mbaga msuya mdee mkwizu nk)nk?
Mfano Kussa na Anti Ezekiel100% upo sahihi! Wanaume wa kisambaa wanazingua sana wanapenda kulelewa..wanawake ndo wachapa kazi sana.
[emoji38][emoji38]Mashtaka yamewekwa mezani. Ngoja tusubiri sasa utetezi kutoka kwa Watuhumiwa.