Mila za Kabila la Waluguru zina kasoro, chukua tahadhari kabla hujaoa huko

Mila za Kabila la Waluguru zina kasoro, chukua tahadhari kabla hujaoa huko

Tabia za wanyaturu kbs yan mlemle watoto n mali ya mama, wanawapenda wajomba na mama wadogo kwa wakubwa na ndko wanakotembelea sn kuliko upande wa baba. Huwez skia wanaongelea ba mkubwa au mdogo au shangazi n ngumu sn.
 
Wapare kabila la hovyo sana acha kujifanya balozi wao wana roho ya umaskini, uchoyo, ubahili, umimi, jinsia zote Malaya mbwa, wachawi sanaa, wapare ni nyoka
Japo sio mfuasi wa mambo ya kikabila wala makabila na siamini katika ukabila. Ila Nilishadate na wapare wawili haaa aisee hapo kwenye umalayaa 👐👐
 
Asilimia kubwa uliyoyataja ni tabus za kibantu au watu weusi.
Afrika mtoto asilimus kubwa ni wa mama.

mjomba angu aliooa mchaga walipo walipo achana aliondoka na watoto wote tena wakubwa.

Ukizaa na mwanamke wa kigoma siku mkiachana ujue hao watoto sio wako mfano Diamond, Omydimpo. Makabila mengi ndio hivyo.

Wanaume hatuna cheti tumezaliwa kunyonywa tu. Unanyonywa na mke, watoto, ndugu majirani serikali, Marafiki na kila anae kuona.
Aah wapi hizo tabia za matrilineal societies ni makabila machache sana hapa Tz SIYO ZA KIBANTU, waluguru na wamakonde hayafiki hata makabila 10, na yanaongoza kwa ujinga na umasikini makabila ambayo mtoto ni wa mama na mjomba, wengine wameanza kufuata hv karibuni kutokana na KUPOROMOKA KWA MAADILI NA UHUNI WA MJINI, yaani makahaba flani mama ana watoto watano kila mtoto na babake na hadumu ktk mahusiano, ndiyo mtoto anakuwa wa mama tu.
 
Watu hawaoi kabila huwa wanaoa mtu

Mleta mada hazimo kichwani
Ukweli unauma!! Hata wanyama wana makabila, mbwa wapo hodari kwa kuwinda ulinzi kupigana kunusa kuremba nk sasa wewe chukua mbwa wa urembo weka akulindie nyumba. Hata ktk biashara ukienda kariakoo wamejaa WACHAGGA, WAKINGA na Wapemba, nenda ktk Riadha wamejaa WAMBULU, ambao ktk football huwakuti, nenda ktk elimu wamejaa wahaya , wachaga, wangoni na wanyakyusa hiyo ni Sayansi , kabila lina matter kuchangia tabia ya mtu na ktk every general rule there are exceptions .
 
Sijaoa mluguru mimi ni mpare na nimeoa upareni kwetu. Sisi wapare ni patrilineal na ndio uanaume sijawahi kuwaza maishani kuwa hata na mchepuko wa kiluguru achilia mbali mke kwasababu nawafahamu tabia zao. Waluguru ni matrilineal kwahiyo kama umeoa huko pole sana usishangae hata watoto wako wakaitwa surname za majina ya uluguruni KWA wajomba zao.
Urewedi
 
Hizi ni dharau kwa sisi waluguru wa hapa kisaki, mbingu, chita, matombo n.k

Tutakutumia KOMBORA la supersonic iwe funzo kwako
 
Mwanaume wa kiluguru anapewa kiwanja ukweni tena pembeni ya wakwe zake na yeye bila aibu anajenga nyumba ukweni na kuishi hapo bila aibu kitu ambacho sisi wapare hakiwezekani kabisa yani kujenga na kuishi KWA wakwe!
Hata nyinyi wapare msijisifu sana.

Mna makando kando yenu kichefuchefu sana.

Sio mjini sio wakijijini.

Ni vile tunavumiliana tu huku mtaani.

Lakini hakuna mwenye uafadhali.
 
Tate Vipi kwa upande wa kule milimani kwenu usambaani,lushoto?
Maana nina msambaa hapa aiseeh ni mvumilivu sijawahi ona, sio wachoyo kabisa,roho nzuri, ana mapenzi ya kweli, alafu kingine aiseeh ukioa msambaa unatoka kimaisha maana ni wachakarikaji sana..
Nilishazunguka huko lakini huyu msambaa kanituliza aiseeh..! Nina 3 years nae sijawahi chepuka..mmmh[emoji848]
Wasambaa wanaojielewa ni WA korogwe wale wa milimani acha tu mzee.
 
Mfano mimi ni mpare na ukoo wangu ni mshana nikioa mwanamke wa kiluguru wale watoto ni wa nani? Je wataitwa KWA ubini wa waluguru (banzi mloka kobelo mkude) au ataitwa KWA koo za kipare (mshana mbaga msuya mdee mkwizu nk)nk?
Nyie washana si ndio wanasemaga nyie ni MLANGO WA 8
 
Niliwahi shuhudia baba wa kiluguru akila threesome akiwa na mkewe pamoja na mwanae. Walikuwa wamelewa lubega, nyuma ya nyumba wanatandikana bakora huku watu wakiwa mbele ya nyumba wanasakata rumba
 
Back
Top Bottom