Mila za Kabila la Waluguru zina kasoro, chukua tahadhari kabla hujaoa huko

Kuhusiana kimapenzi ndugu kwa ndugu hiyo sio stori.. wachache wanaanza kujikomboa kutoka katika hiyo laana..
 
1. Mwanamke ndio mwenye nguvu watoto ni wa mama na watoto wanawaheshimu wajomba sio wewe baba.

2. Mwanamke wa kiluguru ukimuoa kila mwaka lazima arudi kwao kucheza ngoma na huko lazima akutane na ma X wake agegedwe.

3. Waluguru wanapenda kuishi pamoja ukoo mzima yale maisha ya kijima ya zama za mawe. Mfano ndugu wote wa ukoo wanaweza kuja kuishi kwako na kama wewe ni mkali na mwenye misimamo basi ukienda kazini mke wako anapika kwako chakula anaenda kulia kwao na ndugu zake. (Kama mnaishi karibu na kwao) na kama u mpole wanapika kwao wanakuja kulia chakula kwako.

4. Kali kuliko zote waluguru wana utamaduni mbaya wa kugegedana ndugu kwa ndugu tena wa damu. Hivyo ni jambo jepesi sana mke wako kugegedwa na ndugu zake wa damu tena wa karibu nawewe hutajuta kamwe kwasababu utaaminishwa na utaamini kuwa hao ni ndugu.

5. Mwanamke wa kiluguru haoni shida kuishi na wanaume wawili kwa wakati mmoja tena wakijuana kabisa.

6. Jambo linaloshangaza wanaume wa kiluguru hawana wivu wa mapenzi. Mwanaume wa kiluguru anaweza kuoa singo maza ambae ameachwa jana na msela anaeishi mtaa huohuo na akalea mtoto au mimba ya mtu anayemjua kabisaaaaa.
1. Mataifa mengi pamoja na makabila mengi yanafuata hii system- sio walugulu pekee.
2.Sio Kweli!!
3.Ni Uongo pro max- akuna kitu kama hicho
4.Kwa kuwa Ukoo wa Kilugulu unaenda kwa mama. Hapo Zamani Binamu(mtoto wa Shangazi au mjomba ) sio ukoo wako so walikuwa wanaoana. Zaidi ya hapo wewe ni mwongo na mropokaji
5. Sio kweli wewe ni Mzushi
6.Sio Kweli hili unalowasingizia Walugulu ata Watanzania wengi wapo kundini mfano wana bongo movie na Bongo flavor Wanabadilishana wapenzi kama Ndala za Chooni- mfano Paula/Wema Sepetu toka 2020-2023 ameshakuwa mpenzi wa zaidi ya 3 mens na no body cares .
Miongoni mwa watu waliowa staraabu, Wasomi na Wachapa kazi ni Walugulu.Pole na nna kuombea msamaha ! Mizimu ya kilugulu ile ya Kolelo isipite na roho yako
 
Ndo yale niliyo kutano nayo kwa X wangu mwanaume anamtumia txt mpenz yeye anasema kk zake na ukiangalia kwer ndugu yke nilivumilia ila nikashindwa nikaona hamua kuanda safari ya matumaini
 
Nawapa scenario nyingine ya jamaa yangu aliyeoa mluguru.

Wanakaa kijiji kimoja na familia ya mkewe yeye akiwa afisa mtendaji wa kijiji Kabila mhaya alipozinguana na mkewe mkewe akarudi kwao kijiji hichohicho kitongoji kingine. Sasa kule kwao na mwanamke alikorudi baada ya kukorofishana na mumewe yule mama akawa anagawa mechi bure KWA msela mwingine tena nyumba I kwao chumba wanacholala na dada zake (wako hapo home pia wameachika) cha ajabu mama mzazi yupo ila anaficha siri dada zake pia wanajua na wanaficha siri kwahiyo ni siri ya wanafamilia kwamba dada yao anagegedwa hapohapo home ila wamefumba macho na midomo kwakuwa jamaa anawapa hela ya kulisha lundo la madada yenye matoto yaliyoolewa na kuachika yamejazana KWA mama yao yanalishwa kama nguruwe na hela za dada yao mchepukaji!
 
Ndio hivyohivyo wanafanya na hapo wanagegedana sasa wewe ukienda kuoa inakula kwako hao ndio waluguru.
 
1. Mataifa mengi pamoja na makabila mengi yanafuata hii system- sio walugulu pekee.
2.Sio Kweli!!
3.Ni Uongo pro max- akuna kitu kama hicho
4.Kwa kuwa Ukoo wa Kilugulu unaenda kwa mama. Hapo Zamani Binamu(mtoto wa Shangazi au mjomba ) sio ukoo wako so walikuwa wanaoana. Zaidi ya hapo wewe ni mwongo na mropokaji
5. Sio kweli wewe ni Mzushi
6.Sio Kweli hili unalowasingizia Walugulu ata Watanzania wengi wapo kundini mfano wana bongo movie na Bongo flavor Wanabadilishana wapenzi kama Ndala za Chooni- mfano Paula/Wema Sepetu toka 2020-2023 ameshakuwa mpenzi wa zaidi ya 3 mens na no body cares .
Miongoni mwa watu waliowa staraabu, Wasomi na Wachapa kazi ni Walugulu.Pole na nna kuombea msamaha ! Mizimu ya kilugulu ile ya Kolelo isipite na roho yako
Soma post za wadau wanaotoa ushuhuda humu waluguru mnafaa kuoana wenyewe KWA wenyewe baaaasiii. Kuhusu mizimu ya kolelo huo ni upumbavu watakutana angani na mizimu ya msitu wa shengena msitu wa wapare.
 
Uluguruni ukoo unafuata kwa mama anayeuendeleza ni mtoto wa kiume, na Mtala hufuata kwa baba. Hiyo haimaanishi kwamba baba hana nguvu ila kutambua mchango wa mama kwa mtoto. Mama hajawahi kusingiziwa mtoto. Hivyo waluguru walitambua hilo mapema ili mtoto asipewe ukoo ambao sio wake. Baba anatoa Mtala na pia ana maamuzi makubwa kama baba na ndio kichwa cha familia
 
1. Mwanamke ndio mwenye nguvu watoto ni wa mama na watoto wanawaheshimu wajomba sio wewe baba.

2. Mwanamke wa kiluguru ukimuoa kila mwaka lazima arudi kwao kucheza ngoma na huko lazima akutane na ma X wake agegedwe.

3. Waluguru wanapenda kuishi pamoja ukoo mzima yale maisha ya kijima ya zama za mawe. Mfano ndugu wote wa ukoo wanaweza kuja kuishi kwako na kama wewe ni mkali na mwenye misimamo basi ukienda kazini mke wako anapika kwako chakula anaenda kulia kwao na ndugu zake. (Kama mnaishi karibu na kwao) na kama u mpole wanapika kwao wanakuja kulia chakula kwako.

4. Kali kuliko zote waluguru wana utamaduni mbaya wa kugegedana ndugu kwa ndugu tena wa damu. Hivyo ni jambo jepesi sana mke wako kugegedwa na ndugu zake wa damu tena wa karibu nawewe hutajuta kamwe kwasababu utaaminishwa na utaamini kuwa hao ni ndugu.

5. Mwanamke wa kiluguru haoni shida kuishi na wanaume wawili kwa wakati mmoja tena wakijuana kabisa.

6. Jambo linaloshangaza wanaume wa kiluguru hawana wivu wa mapenzi. Mwanaume wa kiluguru anaweza kuoa singo maza ambae ameachwa jana na msela anaeishi mtaa huohuo na akalea mtoto au mimba ya mtu anayemjua kabisaaaaa.
Chai
 
Nawapa scenario nyingine ya jamaa yangu aliyeoa mluguru.

Wanakaa kijiji kimoja na familia ya mkewe yeye akiwa afisa mtendaji wa kijiji Kabila mhaya alipozinguana na mkewe mkewe akarudi kwao kijiji hichohicho kitongoji kingine. Sasa kule kwao na mwanamke alikorudi baada ya kukorofishana na mumewe yule mama akawa anagawa mechi bure KWA msela mwingine tena nyumba I kwao chumba wanacholala na dada zake (wako hapo home pia wameachika) cha ajabu mama mzazi yupo ila anaficha siri dada zake pia wanajua na wanaficha siri kwahiyo ni siri ya wanafamilia kwamba dada yao anagegedwa hapohapo home ila wamefumba macho na midomo kwakuwa jamaa anawapa hela ya kulisha lundo la madada yenye matoto yaliyoolewa na kuachika yamejazana KWA mama yao yanalishwa kama nguruwe na hela za dada yao mchepukaji!
Hapo mbali na sifa za Hilo kabira jamaa alikosea kuchagua familia ya kuoa
 
Uluguruni ukoo unafuata kwa mama anayeuendeleza ni mtoto wa kiume, na Mtala hufuata kwa baba. Hiyo haimaanishi kwamba baba hana nguvu ila kutambua mchango wa mama kwa mtoto. Mama hajawahi kusingiziwa mtoto. Hivyo waluguru walitambua hilo mapema ili mtoto asipewe ukoo ambao sio wake. Baba anatoa Mtala na pia ana maamuzi makubwa kama baba na ndio kichwa cha familia
Mtala ninini?
 
Mfano mimi ni mpare na ukoo wangu ni mshana nikioa mwanamke wa kiluguru wale watoto ni wa nani? Je wataitwa KWA ubini wa waluguru (banzi mloka kobelo mkude) au ataitwa KWA koo za kipare (mshana mbaga msuya mdee mkwizu nk)nk?

Tena usije kujichanganya kutongoza mke wa Mluguru, atakaa na mumewe watapanga chezo la fumanizi then unadaiwa hela.. na hata ikiwa mazingira ya fumanizi magumu kumruhusu mke wake achepuke wapate hela kwao ni kitu kinachowezekana na sio stori kuchapiwa.
 
Soma post za wadau wanaotoa ushuhuda humu waluguru mnafaa kuoana wenyewe KWA wenyewe baaaasiii. Kuhusu mizimu ya kolelo huo ni upumbavu watakutana angani na mizimu ya msitu wa shengena msitu wa wapare.
Tutonga na bajeti😂😂😂
 
Attachments

  • 5C301719-6E4F-4018-AE83-D8BCCC7B1B8A.jpeg
    5C301719-6E4F-4018-AE83-D8BCCC7B1B8A.jpeg
    21.7 KB · Views: 3
HIYO ya kumruhusu mke wake achepuke ni ukweli KABISA
Tena usije kujichanganya kutongoza mke wa Mluguru, atakaa na mumewe watapanga chezo la fumanizi then unadaiwa hela.. na hata ikiwa mazingira ya fumanizi magumu kumruhusu mke wake achepuke wapate hela kwao ni kitu kinachowezekana na sio stori kuchapiwa.
 
Mfano mimi ni mpare na ukoo wangu ni mshana nikioa mwanamke wa kiluguru wale watoto ni wa nani? Je wataitwa KWA ubini wa waluguru (banzi mloka kobelo mkude) au ataitwa KWA koo za kipare (mshana mbaga msuya mdee mkwizu nk)nk?
Wewe mshana, umeoa Mluguru kutoka koo ya wamwenda. Watoto zako wataitwa kwa Mtala wako, ila mtoto wako wa kiume akizaa watoto wake wakiume ataitwa Mkude( Kung'aro) na Wakike ataitwa Mwenda. Sababu huo ndio ukoo wa mama yake yaani wamwenda..ukoo unatoka kwa mama ila unabebwa na mtoto wa kiume sio wa kike
 
Back
Top Bottom