Mila za Kabila la Waluguru zina kasoro, chukua tahadhari kabla hujaoa huko

Embu acha kuzalilisha wakwe na mashemeji zangu, hiyo ni kasumba ya kila baadhi ya makabila so usikalili.

Huyo mkeo mchunguze vizuri cos kuna tabia ya mtu na hulka ya mtu na utakuwa mwanaume hujitambui ikiwa wewe ni mume na baba wa familia, so nahisi umeamua kukubali kuendeshwa na mwanamke basi.

Mimi nmeoa na sioo mbali na ukweni lakini swala la kwenda kwao kuhusu shughuli yoyote mimi ndo nafosi cos yeye anapendaga tutoe mchango zaidi ya kwenda,

Na kuhusu watoto majukumu aliyotoa au tuliyokuwa nayo yeye ni kwamba awajuze upande wangu na mimi niwajuze watoto upande wake yani kwao.

So mchunguze huyo mkeo kama hujaolewa basi hujui maana ya mwanaume ndani ya nyumba, asubuhi njema
Exactly alichosema ni kama tamaduni za kibantu in general ingawa watu kutokana na dunia kuwa ya kibepari waafrika wengi wameshatoka huko sasa hivi hata kijijini pesa ndio inaheshimika kila mtu anahangaika na mali tu
 
Inabidi uangalie mtu mwenyewe sio kabila.Mke mzuri huwezi mpata kwa kuangalia kabila lake.Unamtizama yeye kama yeye Full stop

Mambo ya kuangalia sijui kabila gani ni ushirikina mtupu
Watu ni wa ajabu sana.
Elimu, Dini, Mazingira, exposure, mapito, kazi hivyo vyote vina nguvu kubwa sana kwenye kum transform mtu, lakini watu hawavizingatii wanadhani once ukiwa descendant wa kabila fulani basi wewe ni memavu wa tabia za kabila hilo na kamwe hazitakaa zitoke.
Hawajui nguvu ya utamaduni ipo kwenye kui exercise kupitia mfumo wa maisha ya kila siku, nje ya hapo haina nguvu.
 
1. Mwanamke ndio mwenye nguvu watoto ni wa mama na watoto wanawaheshimu wajomba sio wewe baba.

2. Mwanamke wa kiluguru ukimuoa kila mwaka lazima arudi kwao kucheza ngoma na huko lazima akutane na ma X wake agegedwe.

3. Waluguru wanapenda kuishi pamoja ukoo mzima yale maisha ya kijima ya zama za mawe. Mfano ndugu wote wa ukoo wanaweza kuja kuishi kwako na kama wewe ni mkali na mwenye misimamo basi ukienda kazini mke wako anapika kwako chakula anaenda kulia kwao na ndugu zake. (Kama mnaishi karibu na kwao) na kama u mpole wanapika kwao wanakuja kulia chakula kwako.

4. Kali kuliko zote waluguru wana utamaduni mbaya wa kugegedana ndugu kwa ndugu tena wa damu. Hivyo ni jambo jepesi sana mke wako kugegedwa na ndugu zake wa damu tena wa karibu nawewe hutajuta kamwe kwasababu utaaminishwa na utaamini kuwa hao ni ndugu.

5. Mwanamke wa kiluguru haoni shida kuishi na wanaume wawili kwa wakati mmoja tena wakijuana kabisa.

6. Jambo linaloshangaza wanaume wa kiluguru hawana wivu wa mapenzi. Mwanaume wa kiluguru anaweza kuoa singo maza ambae ameachwa jana na msela anaeishi mtaa huohuo na akalea mtoto au mimba ya mtu anayemjua kabisaaaaa.
Kwa kuongezea tuuu

Wanawake wa kilugulu huwa hawapendi ndugu wa mwanaume

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Mila karibu zote za makabila ya Bongo zinalingana, kuna makabila vijana utakiwa kurithi mama zao wadogo(Mama wadogo wa kambo) hasa wale wenye watoto wadogo kwa kisingizio cha kutunza familia,kuna wengine kaka akiwa na mke basi akisafiri mdogo wake analala na shemeji yake bila tatizo hata siku kaka akirudi anagonga anafunguliwa mlango dogo anatoka kaka anaingia bila ugomvi wala nini ndio maana mkaona baadhi ya maeneo ya nchi yetu ukimwi uliwachakaza sana.
Msiniulize ni wapi.
 
Embu acha kuzalilisha wakwe na mashemeji zangu, hiyo ni kasumba ya kila baadhi ya makabila so usikalili.

Huyo mkeo mchunguze vizuri cos kuna tabia ya mtu na hulka ya mtu na utakuwa mwanaume hujitambui ikiwa wewe ni mume na baba wa familia, so nahisi umeamua kukubali kuendeshwa na mwanamke basi.

Mimi nmeoa na sioo mbali na ukweni lakini swala la kwenda kwao kuhusu shughuli yoyote mimi ndo nafosi cos yeye anapendaga tutoe mchango zaidi ya kwenda,

Na kuhusu watoto majukumu aliyotoa au tuliyokuwa nayo yeye ni kwamba awajuze upande wangu na mimi niwajuze watoto upande wake yani kwao.

So mchunguze huyo mkeo kama hujaolewa basi hujui maana ya mwanaume ndani ya nyumba, asubuhi njema
Kwa hisani ya nguvu ya penzi
 
1. Mwanamke ndio mwenye nguvu watoto ni wa mama na watoto wanawaheshimu wajomba sio wewe baba.

2. Mwanamke wa kiluguru ukimuoa kila mwaka lazima arudi kwao kucheza ngoma na huko lazima akutane na ma X wake agegedwe.

3. Waluguru wanapenda kuishi pamoja ukoo mzima yale maisha ya kijima ya zama za mawe. Mfano ndugu wote wa ukoo wanaweza kuja kuishi kwako na kama wewe ni mkali na mwenye misimamo basi ukienda kazini mke wako anapika kwako chakula anaenda kulia kwao na ndugu zake. (Kama mnaishi karibu na kwao) na kama u mpole wanapika kwao wanakuja kulia chakula kwako.

4. Kali kuliko zote waluguru wana utamaduni mbaya wa kugegedana ndugu kwa ndugu tena wa damu. Hivyo ni jambo jepesi sana mke wako kugegedwa na ndugu zake wa damu tena wa karibu nawewe hutajuta kamwe kwasababu utaaminishwa na utaamini kuwa hao ni ndugu.

5. Mwanamke wa kiluguru haoni shida kuishi na wanaume wawili kwa wakati mmoja tena wakijuana kabisa.

6. Jambo linaloshangaza wanaume wa kiluguru hawana wivu wa mapenzi. Mwanaume wa kiluguru anaweza kuoa singo maza ambae ameachwa jana na msela anaeishi mtaa huohuo na akalea mtoto au mimba ya mtu anayemjua kabisaaaaa.
Hio point ya mwisho ni nzito sana na nimeiona ni noma. Hujadanganya chochote kile yote ni kweli.

Ongezea mwanamke wa kiluguru sharti amtawale mume kwa kuroga na kama sio mluguru na uko vema kiuchumi wanakupandisha mgomba dadekie hapo ndio imeisha. Nawapenda wanajua kulea watoto
 
Ulichoongea 100% ni uongo,kila kabila lina madhaifu yake,jirani yangu kaoa Mluguru,wanaishi vzr na sijawahi ona hayo uliyosema,nimeishi Morogoro kwa miaka mingi,nayafahamu makabila mengi ya huu mkoa...waluguru ni watu wenye upendo na hawana majivuni,...Wapogoro,wandewe,Wandamba,Wakaguru ni makabila nayoyafahamu vzr maana nimezunguka huu mkoa wote...acha kuchafua makabila ya watu,...Zungumzia kuhusu Wapare yako mengi yanayosemwa kuhusu Wapare swali ni je? Wapare wote wako hivyo?umalaya yaweza kua ni hulka ya mtu lkn huwez unganisha kabila...tumesoma,nimefanya kazi na wapare wapo wenye roho nzuri na wabaya tena walikua wanachonganisha na kufitinisha sana ofisini, lkn sio wote.
 
Wapare kabila la hovyo sana acha kujifanya balozi wao wana roho ya umaskini, uchoyo, ubahili, umimi, jinsia zote Malaya mbwa, wachawi sanaa, wapare ni nyoka
 
Mila karibu zote za makabila ya Bongo zinalingana, kuna makabila vijana utakiwa kurithi mama zao wadogo hasa wale wenye watoto wadogo kwa kisingizio cha kutunza familia,kuna wengine kaka akiwa na mke basi akisafiri mdogo wake analala na shemeji yake bila tatizo hata siku kaka akirudi anagonga anafunguliwa mlango dogo anatoka kaka anaingia bila ugomvi wala nini ndio maana mkaona baadhi ya maeneo ya nchi yetu ukimwi uliwachakaza sana.
Msiniulize ni wapi.
Hii sijaelewa kurithi mama zao wadogo unamaanisha mdogo wa mama yako mzazi wa tumbo moja?
 
1. Mwanamke ndio mwenye nguvu watoto ni wa mama na watoto wanawaheshimu wajomba sio wewe baba.

2. Mwanamke wa kiluguru ukimuoa kila mwaka lazima arudi kwao kucheza ngoma na huko lazima akutane na ma X wake agegedwe.

3. Waluguru wanapenda kuishi pamoja ukoo mzima yale maisha ya kijima ya zama za mawe. Mfano ndugu wote wa ukoo wanaweza kuja kuishi kwako na kama wewe ni mkali na mwenye misimamo basi ukienda kazini mke wako anapika kwako chakula anaenda kulia kwao na ndugu zake. (Kama mnaishi karibu na kwao) na kama u mpole wanapika kwao wanakuja kulia chakula kwako.

4. Kali kuliko zote waluguru wana utamaduni mbaya wa kugegedana ndugu kwa ndugu tena wa damu. Hivyo ni jambo jepesi sana mke wako kugegedwa na ndugu zake wa damu tena wa karibu nawewe hutajuta kamwe kwasababu utaaminishwa na utaamini kuwa hao ni ndugu.

5. Mwanamke wa kiluguru haoni shida kuishi na wanaume wawili kwa wakati mmoja tena wakijuana kabisa.

6. Jambo linaloshangaza wanaume wa kiluguru hawana wivu wa mapenzi. Mwanaume wa kiluguru anaweza kuoa singo maza ambae ameachwa jana na msela anaeishi mtaa huohuo na akalea mtoto au mimba ya mtu anayemjua kabisaaaaa.
Ngoja niwachunguzee maana Niko kwao kabisa ila kwa asilimia kubwa ni ukwelii
 
Hii sijaelewa kurithi mama zao wadogo unamaanisha mdogo wa mama yako mzazi wa tumbo moja?
Mama zao wa kambo,ujue kuna jamii wanaume tena wazee wanakuwa na wake hata kumi wakiwemo mabinti wadogo sasa wazee wakifariki vijana hasa wale wa mwisho kuzaliwa hutakiwa kurudi nyumbani kuendeleza mji wa mzee wao na kulea familia.
 
Ulichoongea 100% ni uongo,kila kabila lina madhaifu yake,jirani yangu kaoa Mluguru,wanaishi vzr na sijawahi ona hayo uliyosema,nimeishi Morogoro kwa miaka mingi,nayafahamu makabila mengi ya huu mkoa...waluguru ni watu wenye upendo na hawana majivuni,...Wapogoro,wandewe,Wandamba,Wakaguru ni makabila nayoyafahamu vzr maana nimezunguka huu mkoa wote...acha kuchafua makabila ya watu,...Zungumzia kuhusu Wapare yako mengi yanayosemwa kuhusu Wapare swali ni je? Wapare wote wako hivyo?umalaya yaweza kua ni hulka ya mtu lkn huwez unganisha kabila...tumesoma,nimefanya kazi na wapare wapo wenye roho nzuri na wabaya tena walikua wanachonganisha na kufitinisha sana ofisini, lkn sio wote.
point
 
Back
Top Bottom