Mila za kushangaza: Maiti ipo mochuary kwa zaidi ya miezi 3

Watu wa huo ukanda wa Afrika Magharibi ndio taratibu zao.

Kwanza Kuna Boss wetu alikua anatokea Ghana, tulipata taarifa amefiwa na Mama yake Mzazi, kesho yake asubuhi kwenda ofisini mie najua wakati huo Yuko airport anaelekea msibani, nashangaa ametulia kwenye laptop anapiga kazi.

Tokea siku hiyo nikaelewa inabidi kuzielewa taratibu na tamaduni za watu tofautitofauti, piga picha mtu kama huyo unaenda umevimba macho Kwa kulia unaomba ruhusa uende msibani umefiwa na jirani au Mjomba sijui Babu atakuelewa kweli?

Mwingine alikua anatokea Nigeria, Mama yake kafariki na wenyewe walizika baada ya miezi mitatu.
 
Wengi ni kuweka mazingira ya nyumbani vizuri. Kuna ambao kipindi hicho ndio wanajenga au kukarabati nyumba.
ASA mtu km Koffi Annan yule alivyokua na pesa nae walimuweka kin Psquare pia mama Yao alikaa km miezi hivi
Nadhani Mila liko kimila zaidi
 
Huwa ni sherehe na kuna mgeni rasmi wakati wa mazishi. Kwa kawaida hapo ndipo inaonesha mtu aliyekuja alikuwa na utajiri kiasi gani. Waghana unaambiwa huwa anakula kwa shida na anatunza fedha itakayotumika katika kuomboleza Kifo chake
Kaahh...Yaani wale kunaufaisha watu yeye mda huo kafa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dunia Ina mambo sana
Ahsante Kwa elimu
 
Usisahau kuangalia Google na majeneza yao,Ni disaster!...kifo kimerahisishwa Sana huko Hadi mtu unakuwa motivated kufariki[emoji16]
Joannah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unakua motivated kufaaa
 
Kaahh...Yaani wale kunaufaisha watu yeye mda huo kafa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dunia Ina mambo sana
Ahsante Kwa elimu
Kila jumuia ina vitu ambavyo wasio wanajumuia wanavishangaa
 
Hili ni jambo la kawaida mno kwa tribes za nchi za west Africa; the earliest they can go huwa ni siku 30
 
West Africa ndo kawaida Yao dear misiba inakaa mwezi na kitu hivi nadhani wanaangalia nyota pia kutoka kwenye Mila zao hata yule katibu WA UN Koffi Annan alikaa karibu mwezi sijuii ndo akazikwa na wanaheshimu mnoo mila zao
Kuna sababu kubwa sana ya kimila na sio hizi wanazodai kwamba wanaandaa sherehe.
Zile jamaa zinaamini sana kwenye mambo ya mila na giza
 
Sijui ni tamaduni,mara nyingine huwa naona Waislam kwenye issues za misiba wako sahihi cos mtu akiwa Mochwari machungu bado yanakuwepo ila akizikwa baada ya muda mfupi angalau kunakuwa na relief kidogo.Ila siku hizi naona imekuwa too much
 
ASA mtu km Koffi Annan yule alivyokua na pesa nae walimuweka kin Psquare pia mama Yao alikaa km miezi hivi
Nadhani Mila liko kimila zaidi
Hilo swala ni ki mila zaidi. Kuna mambo wazee wanafanya
 
Hawa sindio wale wanacheza na jeneza kwa mbwembwe zote
 
Sambeke alisimamisha mkoa wa kilimanjaro
 
Itapendeza kujua utaratibu huu upo hata kwa Waislam wa huko Ghana au West Africa kwa ujumla.

Au wao wanafanya kama ilivyozoeleka huku kwetu, mtu anakata moto saa2 asubuhi, saa7 mchana anakuwa tayari 6feet under.

Na kingine ikitokea msiba juu msiba inakuaje?
 
karibuni siku kumi za maombi katika kanisa lolote la waadventista wasabato lililo karibu nawe usipange kukosa mibaraka hii ya kufungua mwaka balikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…