Mila za kushangaza: Maiti ipo mochuary kwa zaidi ya miezi 3

Afrika magharibi ndivo walivo maiti ya mama yao psquare ilikaa karibu miezi 4 , chinua achebe maiti ilikaa karibu miezi 6
 
Kwa watu wa West Africa haswa Ghana na Nigeria huo ni utaratibu wa kawaida sana kwao. Na wao misiba ni sherehe kubwa mnoo inazidi hata baadhi ya harusi hapa kwetu. Usishangae , tatizo ulikuwa hujui. Duniani kuna mila tofauti sana za makabila mbalimbali. Hata sisi pia nao kuna taratibu zetu wanatushangaa
 
Niliwahi kufanya kazi ni Wa UK, Kuna mmoja alifiwa na rafiki yake, na alikaa zaidi ya miezi 3 bila kuzikwa.. Sababu kubwa ni kuwa, hii kulingana na wa UK, Huwa hawaziki mtu bila kujua chanzo cha kifo chake.. kwa hiyo kuzika kwao hutegemea na kukamilika kwa uchunguzi!
 
I get the point
 
Acha ubishi kuna mdada wa kighana ameishi tz naye anashangaa misiba yetu ni fast fast ...video hii hapa
 
Cheki hii video utapata jibu
 
Three weeks?? Kulingana na ukubwa aliokuwa nao isn't? Ukubwa gani huo boss hata huyo the so called jiwe hakumaliza hizo siku na awe mkubwa alivyokuwa ila he was below jiwe....gharama nyingi for the dead

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Kuna sababu kubwa sana ya kimila na sio hizi wanazodai kwamba wanaandaa sherehe.
Zile jamaa zinaamini sana kwenye mambo ya mila na giza
Sahihi kabisa wenzetu hawaziki tu ghafla wanatazama Mpk nyota mganga kasemaje au viongozi wa kimila,Kuna jamii mmeisahau nadhani wako south Africa hua wanazika Kila j2 tu,siku nyingine zote wanafanya shughuli zao km kawaida kama hakuna Msiba na wanasherehekea kabisaaa
 
Hata Tb Joshua alikaa muda mrefu sana labda ndio tabamuni zao mitaa hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…