Mila za kushangaza: Maiti ipo mochuary kwa zaidi ya miezi 3

Rais mstaafu Jerry Rawlings, alizikwa miezi miwili baada ya kifo.
 
Umeshindwa kuwaza nje ya box. Kuna misiba mingine inakuwa na mgogoro so maiti inahifadhiwa ili shauri liamliwe mahakamani.
 
Umeshindwa kuwaza nje ya box. Kuna misiba mingine inakuwa na mgogoro so maiti inahifadhiwa ili shauri liamliwe mahakamani.
Hawa sio migogoro. Ni mila zao. Pia huo muda unatumika kitamaduni kujua amekufa kwa chanzo gani. Baada ya hapo Msiba ni sherehe na sio huzuni so wanahitaji muda wa maandalizi
 
Na wana tamaduni ya kumzika mtu kulingana na kazi yake namanisha akiwa malaya anazikwa na geneza la umbo la uume akiwa rubani anazikwa na jeneza la ndege Waghana tamaduni zao zina shangaza sana

Jeneza la bishoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…