Wanazingatia restrictions walizo jiwekea kibongibongo njemba na vijeba vingejificha ili view vinachungulia ila huko ni rare cases kukuta male ameingia female rest room.
Pia vyoo sio vya shimo kwamba utachuchumaa hapo ni kukaa tu au kusimama sana sana mchunguliaji ataona miguu na nguo iliyo shushwa
Kwangu Mimi changamoto ingekuwa kijiuoepo na kijiubaridi KINACHO penya hapo kingenikata "stimu"
Kama Choo cha kukaa ni sahihiWanazingatia restrictions walizo jiwekea kibongibongo njemba na vijeba vingejificha ili view vinachungulia ila huko ni rare cases kukuta male ameingia female rest room.
Pia vyoo sio vya shimo kwamba utachuchumaa hapo ni kukaa tu au kusimama sana sana mchunguliaji ataona miguu na nguo iliyo shushwa
Kwangu Mimi changamoto ingekuwa kijiuoepo na kijiubaridi KINACHO penya hapo kingenikata "stimu"
Wanazingatia restrictions walizo jiwekea kibongibongo njemba na vijeba vingejificha ili view vinachungulia ila huko ni rare cases kukuta male ameingia female rest room.
Pia vyoo sio vya shimo kwamba utachuchumaa hapo ni kukaa tu au kusimama sana sana mchunguliaji ataona miguu na nguo iliyo shushwa
Kwangu Mimi changamoto ingekuwa kijiuoepo na kijiubaridi KINACHO penya hapo kingenikata "stimu"
vuvuzela au tarumbetaHii milango ya katika vyoo vya umma huwa inashangaza sana, unakuwa unajisaidia huku mtu mwingine kutoka nje anaweza kukuona akitaka na kusikia kila kitu unachofanya
Hivi vyoo ukiwa na tumbo la kuhara lile la vuvuzela au tarumbeta ni shughuli pevu, inabidi ukimaliza usubirie kuhakikisha hakuna mtu nje ya choo ndio utuoke mbio chooni.
Sijui kwa nini Wamarekani vyoo vinakuwa na milango nusu na uwazi mkubwa hivi!
View attachment 3577684
Mnaoga pamoja😢Privacy hakuna kabisa
Hiyo Sasa ni nafuu nakupa hii == Kuna jamaa ni mteja wangu ni dereva wa magari makubwa alishawahi kunipa story kuhusu congo na vyoo vyao na mabafu Yao
Jamaa ana kuambia mabafu Yao wanaume wote wanaoga pamoja yaani hiyo ni public service pia vyoo vyao na wanawake wana tumia pamoja Kuna wale wanawake ambao ni madereva pia I think umeshawahi kuwaona jamaa anasema Hilo ni kawaida kabisa
Kubwa zaidi Sasa 🙌🙌🤣🤣 hapa ndio nilipo choka nusura nitapike === Anakuambia vyoo wanavyo tumia Kwa haja kubwa vipo pamoja yaani unafanya mambo Yako huku mnatizamana 🙌
Jamaa anasema yaani kama ukiwa umezoea maisha ya tz unaweza usioge hata mwezi mzima mpaka unarudi wakati wewe unajishauri utaanza anzaje kuoga unashangaa wenzako wanaingia tu hawana Time na mtu 🤣Mnaoga pamoja😢
Tena wanaume na imagine hivyo vipande vya nyama vikining'inia🤔
Matundu ya kupuu yapo pamoja🙌
Mimi nina haya sana maisha hayo yange nishindaKuna shule za bweni bafu hazina milango.