Milembe Alivyouawa Kwenye Pagale

Kama kumbukumbu zangu ziko sawa nakumbuka tumewahi kubishana sana kuhusu hili.

Mimi nikisema kila uhalifu huacha alama, wapelelezi makini ndio hugundua alama hizo.
There’s no such thing as a perfect crime.
Where's Ben8, soka, yule mwandishi wa mauaji ya kibiti, wapo wengi tu.

Leo nilikua nasikiliza D2C kuhusu kijana Alie mpiga kibao mwinyi kwenye maulid... R.i.p sultan Nilitokwa na machozi...japo Mimi ni mkristo nilitokwa na machozi.

Ukisikiliza simuulizi za SATIVA unagundua kabisa Kuna askari mmoja alifanya uzembe pale ilipo semwa PIGA CHUMA HUYO. ..sijui Kama MAFWELE kamwachia askari huyo hai maana walifanya uzembe
 
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa nakumbuka tumewahi kubishana sana kuhusu hili.

Mimi nikisema kila uhalifu huacha alama, wapelelezi makini ndio hugundua alama hizo.
There’s no such thing as a perfect crime.
Kuna crimes hadi leo FBI hawajasolve

Hao wauaji wa kipuuzi, unaacha DNA kabisa kwenye crime scenes then unaenda kwa mganga eti akusafishe? huyo aliempiga mapanga alivyochizi alichubuliwa na panga upande wa mshikio, DNA za damu iliokua kwenye ncha za panga ikaonyesha ni za milembe na DNA za kwwnye mshikio zikaonesha ni za huyo Genja aliemkata mapanga. Yaan ilikua ni upuuzi wamefanya, too local.

Ila huyo dada nasikia milembe alikua amemrokodi videos nyingi za uchi na ndizo alikua akimtishia nazo kwamba wakiachana atazirelease, dada ni victim kama angefuata hatua stahili ila akaamua kuchukua shortcut, na ukiona hvo ujue she was really desparate.

Mtoto wa milembe kwa ushahidi aloutoa aliwah kumshauri huyo dada aachane na mama ake arudi kwao ila huyo dada akadai milembe anamtishia hizo videos na pia akasema ana malengo ya biashara anataka kuyafikia.

Hio case file ukiisoma imeelezia kila kitu in clear
 
MShana Jr katia Nemo,,,,,EXPERIENCE MASTER🤝
 
sasa hayo ya kibiti ni vitu classified, sio kama vina utata ndani ya ____ , kwa hiyo kama wewe ni private investigator pia utapata majibu.. Lakini zipo kesi kiuhalisia hata FBI wamekosa majibu mpaka leo.
 
Nyamagana Garden?
 
Dah umenikumbusha mutaa ya Geita,kuna siku nimeenda Lenny Hotel ba binti mmoja,,akaagiza juice glass moja shilingi elfu nane,iliniuma sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…