Milembe Alivyouawa Kwenye Pagale

Kwa hiyo Dyfath alijua keshaachwa.
 
V16 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yeah, Mussa kusikia aliyoyafanya sirini , yanaropokwa hovyo mtaani,..alianua kama ngiri mkia juu V16 TURBO CHARGER,..πŸ—πŸ—πŸ—.huku wana wa Israel wakimsindikiza goma la
"kasongo yeye, mobali na ngai,........

*****, chezea damu ya MTU, alijisahau hadi kuwa yeye ni PRINCE,...πŸƒπŸƒ
 
Hayo ndo malipo ya maisha aliyoyachagua,.....
 
Marehemu inaonyesha alikuwa mbabe sana mshirikina.... Na kukoboa Kila aina ya nafaka Iliyopita mbele....
 
Huyu pia kuna muda alikuwa anatembea na mdogo wake RK supermarket (sijui ni kweli ama accusation) kuna siku ulitokeaga ugomvi NMB pale ndo ikasadikika ni Milembe na huyo mdogo wake RK
 
Waganga feki walitaka kuweka zindiko kwenye pagale mganga wa jf alitaka kuweka zindiko bar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…