Milembe Alivyouawa Kwenye Pagale

Mkuu inbox tunatafuta nini??

Wewe tufundishe hapa Watanzania wenzako nasisi tuwe wakali kwenye usomaji.

Natanguliza shukrani.
 
Buraza .... Hata sisi tuliosoma Shule za vidumu mifagio na mbolea mbona tumesoma hukumu fresh tu... Kama hamumuamini msimulizi kasome hukumu mwenyewe..... Au kiingereza ni Cha " I TEAR MY HAIR " YAANI "NIMECHANA NYWELE ZANGU".... kama kiingereza mgogoro sema tumuite Mwenyekiti awapatanishe na kiingereza muelewane.
 
Mkuu inbox tunatafuta nini??

Wewe tufundishe hapa Watanzania wenzako nasisi tuwe wakali kwenye usomaji.

Natanguliza shukrani.
Hapa tutavuluga mada hii...
Kuna kitabu nitawapa kinafundisha jinsi ya kusoma kwa speed...
Elimu yetu Tanzania ni shida Sana, unamaliza chuo kikuu bado "unasoma kwa kutamka kimoyomoyo neno kwa neno"
 
Hapa tutavuluga mada hii...
Kuna kitabu nitawapa kinafundisha jinsi ya kusoma kwa speed...
Elimu yetu Tanzania ni shida Sana, unamaliza chuo kikuu bado "unasoma kwa kutamka kimoyomoyo neno kwa neno"
Ni sahihi Mkuu hii ni changamoto.

Tafadhali share nasi hicho kitabu.
 
Tunaumiza sana watoto. Watoto wataishi na maumivu maisha yao yote.

Imagine mtoto kukua akiwa anajua mama alikuwa anatembea na KE mwenzie au baba alikuwa anatembea na ME mwenzie!
Hata kama tunatenda dhambi, Mungu atusaidie tusifike huko

Ni aibu na fedheha pia hasa ukishafika kuanzia miaka 45, maana wakati mwingine Ujana huwafanya wengi kuwa vipofu
 
Dah! Hukumu imemtaja Shahidi 'Noel Kaji Ndassa', mwenyekiti wa mtaa mwatulole. Huyu bwana nae aliuwawa kwa kukatwa mapanga. Za chini chini zikadai alikuwa na ushahidi nyeti dhidi ya hiyo kesi ya milembe. Wakaona wamtangulize mapema. Jalada lake yeye sijui linaendeleaje!
 
🀣🀣🀣 Haya bhana... sikuhizi sijui wanaume wamekuwaje? Umri unavyokwenda mbele ndo wanazidi kuwa wakakamavu kwenye mambo yetuπŸ€¦πŸ˜”
Hahaha...........itakuwa uzoefu na mbinu ndiyo vinatumika wakati huo.

Mtu anakuwa na uwezo wa kujizuia hadi ahakikishe Mwenza wake amefika safari ndiyo naye anafika πŸ˜œπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…