Milembe Alivyouawa Kwenye Pagale

Milembe Alivyouawa Kwenye Pagale

Na kati ya vitu ambavyo ni vigumu kuvunjika ni wanawake wanaosagana kwani anajua kipi afanye na wapi aguse ili mwenzake asisimke zaidi kitu ambacho kwa wanaume hawezi kusema narudia tena mke wako au mpnzi wako hawezi kukwambia ukitaka nikojoa chap niguse hapa badala yake atakuacha uangaike kupapasa mwil mzima
Yaani wanawake wanapenda kuona wanaume tunateseka na ndio maana mimi NYOKA KIBISA sina time nao🤪🤪
 
Ndo maana wanachiti sana, mwanamke yuko radhi akuchiti na mwanamke mwenzie
 
sijaelewa hapa aisee
Baada ya kutengana tena, Milembe alimwita kwa simu Dayfath kwenye lodge ili waongee.

Katika mazungumzo yao, Dayfath alitoa ushauri kwa Milembe kuwa, wasome "dua" kwenye majengo aliyofia Milembe.

Milembe alikuwa akijenga apartment kwa hiyo, "dua" hiyo ingesaidia kwisha haraka na biashara kuwa nzuri baada ya kumalizika.

Kumbe ushauri wa Dayfath ulikuwa na mtego.

Ova
 
Ni kama walikuwa wana mpango wa kuzizindika nyumba za huyo Milembe ndo Dayfat akatumia nafasi hiyo kupanga mauaji, mi naona kama alikuwa na kisasi cha kuua angemroga tu kimya kimya, sasa anaenda kuishia jela duh
Umefafanua vizuri. Dayfath kahukumiwa kunyongwa.

Ova
 
Ni kama walikuwa wana mpango wa kuzizindika nyumba za huyo Milembe ndo Dayfat akatumia nafasi hiyo kupanga mauaji, mi naona kama alikuwa na kisasi cha kuua angemroga tu kimya kimya, sasa anaenda kuishia jela duh

Niliwahi kusoma kuwa, Dayfath alikuwa amechoka penzi la Milembe akataka kuondoka. Milembe hakukubali hilo,kwani alikuwa mbabe sana na alimpenda demu wake.. Sasa kipigo na kuona kuwa anashindwa kuachana na Milembe kwakuwa Milembe ana hela na yeye hana ujanja akaona amuue tu.
 
Ndo maana tukio lolote mtu hautakiwi kukurupuka kuliongelea bila investigation,watu uwa wanakurupuka sana kuzungumzia matukio bila investigation ata lile tukio la Tanga Bara Bara ya 4,la mama mwenye nyumba na house gal wake kuuwawa watu walikurupuka kuwa mume ndo kawauwa ila baada ya siku kadhaa wakashangaa kuukuta mwili WA jamaa kauwawa .
Hivi imeshia wapi..maana polisi nao walianza kumtafuta jamaa kama vile nbi muuaji.
 
Kikobozi hicho
Screenshot_20241023-152245_Chrome.jpg

Cc Mwanjangle
 
Back
Top Bottom