Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Masikini, pole b…Waliuzima kwa muda, hadi wakanipa uvivu kuumalizia.
Ova
Hawakuona hata aibu kuuzima kwa namna ulivyoandika vizuri? Wanakatisha tamaa, tutakosa vingi kutoka kwako kwa mwenendo huu.