Milioni 1.7 imetolewa kwenye account yangu ya CRDB, nawasiliana nao hawanipi majibu

Ngoja mpunga wangu niweke kwenye crypto tu,kuliko hizi bank mbuzi zenu
 
Kwanini usiwaendee wenyewe? Badala ya email
Au haina ulazima
Hata wakijiganya wameona elfu 10 imepungua wakati hesabu ilikuwa kamili huwa najitoa ufahamu napiga kelele kama mwehu
Nenda kafoke wewe acha woga

Hakuna wa kukusaidia
 
CCM hao wanaiba mipunga ya watu wapate hela za uchaguzi
 
Kwanini usiwaendee wenyewe? Badala ya email
Au haina ulazima
Hata wakijiganya wameona elfu 10 imepungua wakati hesabu ilikuwa kamili huwa najitoa ufahamu napiga kelele kama mwehu
Nenda kafoke wewe acha woga

Hakuna wa kukusaidia
Hizi email ni kuweka ushahidi kujiandaa kuwapeleka Mahakamani wapuuzi hawa.
 
Taingia juzi akaunti yangu kwenye benki ya CRDB imepunguzwa balance kiasi cha Milioni 1.7. Cha kushangaza sijawahi fanya huo muamala.

Nimejaribu kuandika email CRDB hawajajibu. Nimewasiliana kupitia pages zao za Social Media hawajajibu.

Leo ni siku ya 3 kiasi hicho hakijarudi na nikiomba Bank statement, transaction ya mwisho inayoonekana kwenye mfumo ni ya tarehe 8 mwezi huu. Malalamiko haya sio mimi tu. Kuna Watanzania wengi sana wanatoa same Malalamiko kwenye mitandao ya Kijamii na mitaani.

Kuna uwezekano kuna the largest bank heist imefanyika Tanzania kwenye hii bank ya CRDB. Kuna uwezekano kiasi hiki kilichoibwa ni kikubwa zaidi kuwahi kuibwa hata Afrika nzima kama sio Afrika Mashariki yote.

Swali ninalojiuliza wako wapi Benki Kuu ya Tanzania kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Financial Intelligence Unit kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi TAKUKURU kutoa tamko kwenye hili?

Iko wapi Ofisi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Financial Crimes Centre kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Jeshi la Polisi kutoa tamko kwenye hili?

Iko wapi Serikali hasa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha kutoa tamko kwenye hili?

Nilitegemea hadi sasa kwa kuwa nchi yetu haina wataalam waliobobea wa IT tamko lingekuwa limeshatolewa na hadi muda huu Serikali ingekuwa imeshaomba msaada iwe kwa Jeshi la Polisi la China ( Marafiki wa CCM) au Polisi wa Uingereza/ Marekani au Israel kuja kusaidia uchunguzi na kuhakikisha Wahusika wanakamatwa na hela husika zinarudi.

Hii nchi sasa ifike wakati Wananchi tufanye kama Nepal
Naenda branch ndani acha kukala
Kwanini usiwaendee wenyewe? Badala ya email
Au haina ulazima
Hata wakijiganya wameona elfu 10 imepungua wakati hesabu ilikuwa kamili huwa najitoa ufahamu napiga kelele kama mwehu
Nenda kafoke wewe acha woga

Hakuna wa kukusaidia
Hapo sasa Kwa nini asiende branch ndani ukasolve issue ,email toka lini institution za bongo zika respond
 
Nyie mnawachekea. Mimi hapo ningeenda kabatini ningetoa ile suti yangu ya maana then straight ningeenda mahakamani kufungua kesi ya wizi kwamba benki ambao nimewaamini na pesa zangu wameziiba na wamefuta taarifa za kifedha yaani bank statement ambayo inaweza kusema pesa zimeenda wapi.

Sasa nitakwenda kukopa sehemu hata milioni 5 halafu nitasema nilikopa sababu sikuwa na alternative nyingine kwasababu pesa zangu walizishika CRDB na wamenitia hasara kubwa sana nahitaji fidia.

Ningewanyoosha.
 
Naenda branch ndani acha kukala
Hapo sasa Kwa nini asiende branch ndani ukasolve issue ,email toka lini institution za bongo zika respond
Ukiwapeleka Mahakamani utasema siku fulani nilienda branch?

Utakuwa na ushahidi kuwa ulienda branch?

Hujui email ni ushahidi mzuri wa kuwasilishwa Mahakamani?
 
kuna mshikaji mmoja alikuwa anakodolea macho sana app yake ya kijani sim banking huku ananiambia unajua mtandao umerudi nikamwambia mm npo karb yako, ianwezekana naye alikuwa anastaajabu ya musa
 
Wewe ni mpumbavu usiyejitambua. Hujaenda kwenye tawi la jirani unakuja kulalamika mtandaoni kwa utetezi wa kishamba kuwa umetuma email... inawezekana hata account huna.
 
Malalamiko mengi sana. Muhimu CRDB itoe press release kuwahakikishia wateja wake usalama wa fedha zao.
 
HZ RAMLI CHONGANISHI HZ!
VP YALE MENGINE MLIOPGA RAMLI YAMETOKEA?
UPUMBAVU MTUPU..
 
Mtoa post naona leo hujasema "iko wapi jwtz" maana huwa unawaona kama vile redbrigade/hamasa ya chadema
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Taingia juzi akaunti yangu kwenye benki ya CRDB imepunguzwa balance kiasi cha Milioni 1.7. Cha kushangaza sijawahi fanya huo muamala.

Nimejaribu kuandika email CRDB hawajajibu. Nimewasiliana kupitia pages zao za Social Media hawajajibu.

Leo ni siku ya 3 kiasi hicho hakijarudi na nikiomba Bank statement, transaction ya mwisho inayoonekana kwenye mfumo ni ya tarehe 8 mwezi huu. Malalamiko haya sio mimi tu. Kuna Watanzania wengi sana wanatoa same Malalamiko kwenye mitandao ya Kijamii na mitaani.

Kuna uwezekano kuna the largest bank heist imefanyika Tanzania kwenye hii bank ya CRDB. Kuna uwezekano kiasi hiki kilichoibwa ni kikubwa zaidi kuwahi kuibwa hata Afrika nzima kama sio Afrika Mashariki yote.

Swali ninalojiuliza wako wapi Benki Kuu ya Tanzania kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Financial Intelligence Unit kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi TAKUKURU kutoa tamko kwenye hili?

Iko wapi Ofisi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Financial Crimes Centre kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Jeshi la Polisi kutoa tamko kwenye hili?

Iko wapi Serikali hasa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha kutoa tamko kwenye hili?

Nilitegemea hadi sasa kwa kuwa nchi yetu haina wataalam waliobobea wa IT tamko lingekuwa limeshatolewa na hadi muda huu Serikali ingekuwa imeshaomba msaada iwe kwa Jeshi la Polisi la China ( Marafiki wa CCM) au Polisi wa Uingereza/ Marekani au Israel kuja kusaidia uchunguzi na kuhakikisha Wahusika wanakamatwa na hela husika zinarudi.

Hii nchi sasa ifike wakati Wananchi tufanye kama Nepal
Mkuu fuata muongozo wa BOT unavyosema procedures jinsi ya kuripoti ukiingia kwenye website ya BOT utaona.
Pia kila benki ukifungua kwenye website yao vimeandikwa angalia sehemu imeandikwa"CUSTOMER COMPLAINTS HANDLING PROCEDURES" kisha ufuate masharti yaliyoandikwa.
So hizi pricedures zinaanzia kwenye benki husika na wasipotekeleza ndani ya muda fulani uliopangwa unaendeleza BOT.
Usipojua hizi procedures watakupiga danadana sana.
 
Back
Top Bottom