Milioni 1.7 imetolewa kwenye account yangu ya CRDB, nawasiliana nao hawanipi majibu

Taingia juzi akaunti yangu kwenye benki ya CRDB imepunguzwa balance kiasi cha Milioni 1.7. Cha kushangaza sijawahi fanya huo muamala.

Nimejaribu kuandika email CRDB hawajajibu. Nimewasiliana kupitia pages zao za Social Media hawajajibu.

Leo ni siku ya 3 kiasi hicho hakijarudi na nikiomba Bank statement, transaction ya mwisho inayoonekana kwenye mfumo ni ya tarehe 8 mwezi huu. Malalamiko haya sio mimi tu. Kuna Watanzania wengi sana wanatoa same Malalamiko kwenye mitandao ya Kijamii na mitaani.

Kuna uwezekano kuna the largest bank heist imefanyika Tanzania kwenye hii bank ya CRDB. Kuna uwezekano kiasi hiki kilichoibwa ni kikubwa zaidi kuwahi kuibwa hata Afrika nzima kama sio Afrika Mashariki yote.

Swali ninalojiuliza wako wapi Benki Kuu ya Tanzania kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Financial Intelligence Unit kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi TAKUKURU kutoa tamko kwenye hili?

Iko wapi Ofisi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Financial Crimes Centre kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Jeshi la Polisi kutoa tamko kwenye hili?

Iko wapi Serikali hasa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha kutoa tamko kwenye hili?

Nilitegemea hadi sasa kwa kuwa nchi yetu haina wataalam waliobobea wa IT tamko lingekuwa limeshatolewa na hadi muda huu Serikali ingekuwa imeshaomba msaada iwe kwa Jeshi la Polisi la China ( Marafiki wa CCM) au Polisi wa Uingereza/ Marekani au Israel kuja kusaidia uchunguzi na kuhakikisha Wahusika wanakamatwa na hela husika zinarudi.

Hii nchi sasa ifike wakati Wananchi tufanye kama Nepal
CRDB si benki ni kituko. Hamuelewi wapi?

Toeni hela zenu huko, kama mtazipata.

Kuna familia imepoteza zaidi ya shilingi milioni 250, mwaka zaidi ya wa tatu huu.

Wanafungua kesi.
 
Ila hii inaweza kuwa janja tu sema wanachota kubwa mno!!

Wangechota hata 100K tu kwa kila 2M kwa wateja wote halafu wakaachana na wenye savings chini ya 2M.

Mnaanza kuwazungusha kuirudisha kwa kuwasainisha mafomu mpaka miezi miwili iishe ndo pesa inarudi.😁
 
Hata mimi nahisi kuna wizi mkubwa sana imekumbwa hii bank sio kwa vimeo hivi mimi niliona nadaiwa m17 !! nikashangaa sanaa baada ya muda nikaona nimepewa salary advance laki7 lakini nikangalia salio kawaida hakuna hela yaani salio linasoma 37k tu bado sina majibu
MD wa hiyo benki ni chawa,
Ukute wanazichomoa makusudi na kuelekeza kwenye kazi cha chama
 
Taingia juzi akaunti yangu kwenye benki ya CRDB imepunguzwa balance kiasi cha Milioni 1.7. Cha kushangaza sijawahi fanya huo muamala.

Nimejaribu kuandika email CRDB hawajajibu. Nimewasiliana kupitia pages zao za Social Media hawajajibu.

Leo ni siku ya 3 kiasi hicho hakijarudi na nikiomba Bank statement, transaction ya mwisho inayoonekana kwenye mfumo ni ya tarehe 8 mwezi huu. Malalamiko haya sio mimi tu. Kuna Watanzania wengi sana wanatoa same Malalamiko kwenye mitandao ya Kijamii na mitaani.

Kuna uwezekano kuna the largest bank heist imefanyika Tanzania kwenye hii bank ya CRDB. Kuna uwezekano kiasi hiki kilichoibwa ni kikubwa zaidi kuwahi kuibwa hata Afrika nzima kama sio Afrika Mashariki yote.

Swali ninalojiuliza wako wapi Benki Kuu ya Tanzania kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Financial Intelligence Unit kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi TAKUKURU kutoa tamko kwenye hili?

Iko wapi Ofisi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Financial Crimes Centre kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Jeshi la Polisi kutoa tamko kwenye hili?

Iko wapi Serikali hasa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha kutoa tamko kwenye hili?

Nilitegemea hadi sasa kwa kuwa nchi yetu haina wataalam waliobobea wa IT tamko lingekuwa limeshatolewa na hadi muda huu Serikali ingekuwa imeshaomba msaada iwe kwa Jeshi la Polisi la China ( Marafiki wa CCM) au Polisi wa Uingereza/ Marekani au Israel kuja kusaidia uchunguzi na kuhakikisha Wahusika wanakamatwa na hela husika zinarudi.

Hii nchi sasa ifike wakati Wananchi tufanye kama Nepal
TAFUTA WAKILI,PELEKA BANK KORTINI.
 
Ndo nashangaa hisa zao kuendelea kuwa vile vile swala la siku 7 sasa
 
Nauliza wataalamu hasa wa Computer systems and Networks.

Hivi hii inayoelezwa kama Core upgrade ya systems including Databases and backups katika CRDB imefanyika mwaka huu tuu au na.miaka ya nyuma. Mbona hii impact yake ni kubwa.
Hii inaonyesha ni pre meditated, ili waibe hela za wateja
Sababu unapofanya upgrade lazima utengeneze back up ili ikibuma una revert, na pia unatakiwa usave configs aabazo utazi upload kama new upgrade iki default
Hawa walipanga kuiba plain and simple.....
 
Nauliza wataalamu hasa wa Computer systems and Networks.

Hivi hii inayoelezwa kama Core upgrade ya systems including Databases and backups katika CRDB imefanyika mwaka huu tuu au na.miaka ya nyuma. Mbona hii impact yake ni kubwa.

Haki ya wateja kujua wanachotakiwa kujua imezingatiwa. Fidia mbona haisemwi kwa waliopoteza mipunga yao. Naona kama kuna majibu mepesi katika suala muhimu sana.

External affairs and Commumication Director ambatana na BOT iteni press mueleze watu wanarudishiwaje pesa zao na.usalama wa fedha zao ukoje. Huduma zinarudi mia fil mia lini reliably

Kwanza system upgrade haifanywi kwa mkupuo, hufanywa gradually, yaani taratibu Kuna processes zikiwemo piloting plan, fallback plan, rollback plan, migration strategy, disaster recovery plan etc.

Hauwezi ukakurupuka tu kufanya system upgrade.
 
Mwambieni mange awasaidie akiongea huyo watakurupuka kujibu maana taasisi zetu hizi hazipendi ustaarabu kabisa.
 
Sijawahi ona nchi yenye uwajibikaji 0 kama TZ, hata huko ambao serikali ni dhaifu watu wana wajibishana kimtaa.

Nasikia tu malalamiko ya watu kuchotewa pesa zao, bank inatoa statement ya uongo na imekaa kisiasa. Bank inasema huduma zimerudi mambo yamekaa sawa, comments za wateja zinasema kitu tofauti.

Bank iko mbele kushabikia entertainments (Marathoni) kuliko masuala technical.

Mimi CRDB niliachana nao 2017 rasmi, kitu cha kushughulikia siku moja niliambiwa niandike barua majibu nikachukue 14 days COB!
 
Mama yuko bize kukusanya watu kwenye malori kujaza mikutano yake, inasikitisha. Uyu mama akiendelea kwa miaka ijayo 5, nchi itaingia kwenye anguko takatifu la kiuchumi, kwa staili hii ya CRDB na serikali kukaa kimya bila kutetea watu wake, tutakosa imani na mabenki, na watu watakaa na pesa majumban, inshort tutarudi zama za nyerere. Hii Serikali ya Samia ndo the worst and most corrupt government ever happened in the history of Tanzania.
 
Nilishangaa kuiona Bank ya CRDB ikijitangaza Jana kwenye mbao za matangazo siku ya wananchi huku INAPUUZA KERO ZA WATEJA WAKE.
 
Taingia juzi akaunti yangu kwenye benki ya CRDB imepunguzwa balance kiasi cha Milioni 1.7. Cha kushangaza sijawahi fanya huo muamala.

Nimejaribu kuandika email CRDB hawajajibu. Nimewasiliana kupitia pages zao za Social Media hawajajibu.

Leo ni siku ya 3 kiasi hicho hakijarudi na nikiomba Bank statement, transaction ya mwisho inayoonekana kwenye mfumo ni ya tarehe 8 mwezi huu. Malalamiko haya sio mimi tu. Kuna Watanzania wengi sana wanatoa same Malalamiko kwenye mitandao ya Kijamii na mitaani.

Kuna uwezekano kuna the largest bank heist imefanyika Tanzania kwenye hii bank ya CRDB. Kuna uwezekano kiasi hiki kilichoibwa ni kikubwa zaidi kuwahi kuibwa hata Afrika nzima kama sio Afrika Mashariki yote.

Swali ninalojiuliza wako wapi Benki Kuu ya Tanzania kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Financial Intelligence Unit kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi TAKUKURU kutoa tamko kwenye hili?

Iko wapi Ofisi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Financial Crimes Centre kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Jeshi la Polisi kutoa tamko kwenye hili?

Iko wapi Serikali hasa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha kutoa tamko kwenye hili?

Nilitegemea hadi sasa kwa kuwa nchi yetu haina wataalam waliobobea wa IT tamko lingekuwa limeshatolewa na hadi muda huu Serikali ingekuwa imeshaomba msaada iwe kwa Jeshi la Polisi la China ( Marafiki wa CCM) au Polisi wa Uingereza/ Marekani au Israel kuja kusaidia uchunguzi na kuhakikisha Wahusika wanakamatwa na hela husika zinarudi.

Hii nchi sasa ifike wakati Wananchi tufanye kama Nepal
Kila siku mnaonywa kuhusu hio bank mnajifanya wazalendo
Mtanyooka
 
Mimi wamepita na buku yangu. Nilikuwa na Tsh. 5,890 kwenye akaunti mpaka juzi. Jana nimekuta Tsh. 4,890. Bank statement haionyeshi hiyo buku imeenda wapi!

CRDB wajinga sana!
 
Back
Top Bottom