Milioni 1.7 imetolewa kwenye account yangu ya CRDB, nawasiliana nao hawanipi majibu

""Taingia juzi akaunti yangu kwenye benki ya CRDB imepunguzwa balance kiasi cha Milioni 1.7. Cha kushangaza sijawahi fanya huo muamala.
Nimejaribu kuandika email CRDB hawajajibu. Nimewasiliana kupitia pages zao za Social Media hawajajibu.
Leo ni siku ya 3 kiasi hicho hakijarudi na nikiomba Bank statement, transaction ya mwisho inayoonekana kwenye mfumo ni ya tarehe 8 mwezi huu. Malalamiko haya sio mimi tu"".

Nimenukuu hapo juu, mimi ni mpinzani wa CCM na serikali hii, ila ni mteja mzuri wa CRDB. Kuna kitu hakiingii kichwani, huwezi kukuta kwenye akaunti yako imepungua milioni 1.7 ukaanza kuandika email au kuwasiliana nao kwenye pages zao za social media. Huo ni uongo vinginevyo uwe nje ya nchi kwasababu branch za CRDB zipo karibu wilaya zote. Hapo kuna kitu mleta mada anakikwepa, na siku ya tatu anaomba statement bado hakuna mahali anaelezea kuwa alikutana na branch manager au muhudumu wa benki. Hata ukute laki 2 tu haionekani lazima utaamkia benki achilia mbali milioni 1.7, watu wote wanaolalamikia CRDB wanaweza kuwa wapo kweli ila mpaka Sasa sijapata ushahidi wa moja kwa moja. Binafsi mwezi uliopita nilitoa ela kwenye ATM kupitia sim banking (OTP), Laki 6 mara 3(1.8 milioni), zilikatwa na hazikutoka ila baada ya masaa kadhaa ela zilirudi kwenye akaunti.
 
We ni mpumbavu
 
Taingia juzi akaunti yangu kwenye benki ya CRDB imepunguzwa balance kiasi cha Milioni 1.7. Cha kushangaza sijawahi fanya huo muamala.

Nimejaribu kuandika email CRDB hawajajibu. Nimewasiliana kupitia pages zao za Social Media hawajajibu.

Leo ni siku ya 3 kiasi hicho hakijarudi na nikiomba Bank statement, transaction ya mwisho inayoonekana kwenye mfumo ni ya tarehe 8 mwezi huu. Malalamiko haya sio mimi tu. Kuna Watanzania wengi sana wanatoa same Malalamiko kwenye mitandao ya Kijamii na mitaani.

Kuna uwezekano kuna the largest bank heist imefanyika Tanzania kwenye hii bank ya CRDB. Kuna uwezekano kiasi hiki kilichoibwa ni kikubwa zaidi kuwahi kuibwa hata Afrika nzima kama sio Afrika Mashariki yote.

Swali ninalojiuliza wako wapi Benki Kuu ya Tanzania kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Financial Intelligence Unit kutoa tamko kwenye hili?

Mhh! Tayari kimekulamba!
 
Nilikuwaga nasikia tu kwamba a woman might be a good leader but also might be very ineffective na sasa ndio nimejionea mwenyewe

Haya matukio yote yanatokea sababu ya hiyo loophole na bado yatakuja sana. Poleni wenzang
 
Taingia juzi akaunti yangu kwenye benki ya CRDB imepunguzwa balance kiasi cha Milioni 1.7. Cha kushangaza sijawahi fanya huo muamala.

Nimejaribu kuandika email CRDB hawajajibu. Nimewasiliana kupitia pages zao za Social Media hawajajibu.

Leo ni siku ya 3 kiasi hicho hakijarudi na nikiomba Bank statement, transaction ya mwisho inayoonekana kwenye mfumo ni ya tarehe 8 mwezi huu. Malalamiko haya sio mimi tu. Kuna Watanzania wengi sana wanatoa same Malalamiko kwenye mitandao ya Kijamii na mitaani.

Kuna uwezekano kuna the largest bank heist imefanyika Tanzania kwenye hii bank ya CRDB. Kuna uwezekano kiasi hiki kilichoibwa ni kikubwa zaidi kuwahi kuibwa hata Afrika nzima kama sio Afrika Mashariki yote.

Swali ninalojiuliza wako wapi Benki Kuu ya Tanzania kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Financial Intelligence Unit kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi TAKUKURU kutoa tamko kwenye hili?

Iko wapi Ofisi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Financial Crimes Centre kutoa tamko kwenye hili?

Wako wapi Jeshi la Polisi kutoa tamko kwenye hili?

Iko wapi Serikali hasa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha kutoa tamko kwenye hili?

Nilitegemea hadi sasa kwa kuwa nchi yetu haina wataalam waliobobea wa IT tamko lingekuwa limeshatolewa na hadi muda huu Serikali ingekuwa imeshaomba msaada iwe kwa Jeshi la Polisi la China ( Marafiki wa CCM) au Polisi wa Uingereza/ Marekani au Israel kuja kusaidia uchunguzi na kuhakikisha Wahusika wanakamatwa na hela husika zinarudi.

Hii nchi sasa ifike wakati Wananchi tufanye kama Nepal
Account yako wapi wewe kwani ujui kuwa CRDB NI MALI HALALI YA ABDUL NA MAMA YAKE NA ROSTAM AZIZI
 
Acha kuandika Email utachelewa

Wacheki humu +255222197700
 
😂😂😂ufala wa watanzania ni mtaji kwa wajanja nchi ishauzwa hii nani anabisha
 
Kama uko hapo mjini waibukie mkuu,
Ukafanye timbwili.
nadhani kuna vijana hawa Gen Z wengi wako humo sasa wao ni wizi na kulewa tu.
Mi wameniblock na mpaka sasa mwaka na nusu sina uwezo kulog inn online.
Nimetuma kila aina za email kupiga simu mpaka 🙌.
Wanapasiana mipira tu.
Mpigie huyu , nenda huku, ongea na huyu.
Inakatisha tamaa sana sana
 
Back
Top Bottom