Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

Hahaha wewe Tena Mpwa? Sina shaka na wewe kwenye hili
 
Unachosahau ni kwamba wewe pamoja na kutoa hio 3m utaendelea kudhamini pambano ambapo unaweza kuwa unatoa si chini ya laki kila pambano.
 
Watu wana calculate win, win situation zao mapema. Hatari sana.
 
P
Aise usinikumbishe majanga yangu ya laki tatu....mwanamke mshezi kweli yule😭😭😭😭
Alafu hawa warembo wanadhani pesa tunachuma tuu.
Pole Sana, ungempa mama watoto nyumbani au ukaboresha maisha ungepiga hatua kimtindo, hivi vichwa vya chini sometimes vinatugharimu sana
 
Hiyo inaitwa pay to play, bahili tuu wewe au njaa kali , unaona toto jeupe jeupe mahips wewe unataka udandie tuu, mbunye ya bure kale kwa mkeo uliyemtoa kijijini ambae hata kuvaa viatu hajui
Nina Mke mzuri sana anayetunzwa , Mke wangu ukiwa mwanaume hueleweki, Utamuogopa tu !!.
 
Mimi sijakataa Pesa.


Nielewe, Kwan unadhan Sina mademu wa pemben?? .



Angesema basi kua anauza nijue?.

Na aseme hiyo yake mpaka iuzwe 3M Ina Dhahabu??

Lkn km alitaka Mkopo tu basi
Inshu ni hiyo "Nipe ,ibaki wewe tunaenjoy"....... Yaan kaona Mimi Boys sana kwamba nikisikia K napaparika?.

Hivi 3 M unaiongelea kama Buku mbili au??


Basi amini nakuambia, hata Celebs wetu wakike hapa Bongo, hawatiwi Kwa hiyo Hela !!!
 
Huo ulikuwa utapeli wa hali ya juu!😁.

Hiyo ni ada ya usajili tu ila uchakavu upo palepale.

Marejesho,Mavazi,Kusuka,Pango etc
Nahili wengi hawalijui.. mwanamke hata umpe Pesa muda Huu, wakati wa kulana, atataka Hela tu Tena !!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…