Oyaa Wanangu.
Mrejesho ni kwamba, ,Ushauri wenu nimeufanyia kazi.
Mida ya saa 6 mchana alinichek "Vipi G tunafanyaje?"
Nikaona nisiwe kinyonge.
Nikaenda chukua Room ya Standard ya Kati Kati .
Naye akaja, kwanza nikamchana laivu laivu Ubovu wa Tabia yake , Nikamuagizia Pombe zake.
Kisha Nimepiga
Bao tatu za uzito wa Kati yaan dakika 30-40 .
Baada ya hapo nikamhamishia 50K Toka CRDB.
nikamwambia hiyo 3 M nitaifikiria upya .
Hajatia neno lolote.
Muda Huu Ndio nimetoka Lodge
View attachment 2317336View attachment 2317344