Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

0ozg Tz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
4,155
Reaction score
11,168
Jamaa alijifanya kama kijana fulani ambae mbususu sio inshu sana kwake,hata siku moja hakuwahi kuonekana kuwa na demu ambae watu wangehisi hata kuwa jamaa anatafuna.

Jamaa kila siku alkuwa busy kuisaka pesa aendelee kujitajirisha,na vijana wengi sana walitamani kuishi kama yeye yaani unazisaka pesa huna habari na mbususu.

Sasa jamaa ghafla kapindua meza,tena kwa kishindo kabsa kafunga na ndoa kabsa ingawaje ndoa yenyewe ilikuwa na element za kiuwabata.

Hongera billionea mtoto kwa kuanzisha familia.
 
Hamna ubaya, huo ndio msingi wa maisha, ukipata mnayeelewana oa, mpate watoto nao wapate watoto, huku jukumu lenu kubwa likiwa ni kuhakikisha watoto wa watoto wenu wanapata urithi kutoka kwenu. Ukiweza tafuta mali kabla ya kuoa
 
Miaka 35 huyo alikuwa anatafuta kwanza wakufanan nae kwanza sio mbaya kingine alikuwa anapata msukumo kwa ndugu na jamaa utaoa lina ila jua kuoa sio lazima ni binadamu tu tumeamua kupeana stress mtu bado hayuko tayari watu wanamsema vibaya

Na mkitoka hapo mtaanza kumsema jokate
 
Huyo kijana hana tofauti na b twelve hyo ndoa ni coverage tu ya mambo yake
Mara nyingi unakuwa na -ve comments linapokuja swala la Millard.Kuna mida hekima ni kukaa kimya Tu kuliko kumchafua mtu


Stori za huyo jamaa kufanya hicho kitu siyo kigeni masikioni mwa wengi miaka mingi sasa,Kwa hiyo unachokiongea kila muda kuhusu yeye siyo breaking news.
Yanapoongelewa mazuri yake huna sababu ya kutia maneno ya kidhalilishaji.Samtaimz hekima na busara itumike kuliko kuchafuana

Hata km unachokiongea kina ukweli lkn si Sawa unavyofanya

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom