Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eti skuizi naskia mtu akiwa bize sana na mambo yake bila kuwa na dem au madem au asipojihusisha na mapenzi na ke yeyote tena ukute ni maarufu na anapesa anaitwa shoga au anaambiwa hadindishi.Huyo kijana hana tofauti na b twelve hyo ndoa ni coverage tu ya mambo yake
Kama huna uhakika mabaya unayoombea wenzio yakurudie sometimes usijifanye mjuaji kwenye kila kitu hata kama ni kweli sio vema kumchafua mwenzio.Huyo kijana hana tofauti na b twelve hyo ndoa ni coverage tu ya mambo yake
Ohoooo Cariha....Huyo kijana hana tofauti na b twelve hyo ndoa ni coverage tu ya mambo yake
Ni mchafuaje Sasa, kwani uzinifu huwa ni kuchafuana au ni tendo la asili na kila mtu ana uamuzi wake binafsi na mwili wake.Kama huna uhakika mabaya unayoombea wenzio yakurudie sometimes usijifanye mjuaji kwenye kila kitu hata kama ni kweli sio vema kumchafua mwenzio.
Mbona mashoga wameoa kabisa na Wana watoto mbona, hyo kutokuenekana na demu sio excuse sikuhizi wanaume mnakulana nyie kwa nyie mbona, hata wasio na helaeti skuizi naskia mtu akiwa bize sana na mambo yake bila kuwa na dem au madem au asipojihusisha na mapenzi na ke yeyote tena ukute ni maarufu na anapesa anaitwa shoga au anaambiwa hadindishi.
Je ni lazima kujihusisha na mapenzi au kuoa????
[emoji23][emoji23][emoji23]Ohoooo Cariha....![]()
1.Siyo kigeni kwako not to everybody... 2. Kama ndiyo staili yake ya maisha aliyochagua (yaani hiyo na. 1) kwa nini iwe ni udhalilishaji? Yaani mimi nikiamua kununua Punda awe ndiyo usafiri wangu badala ya bodaboda nitakuwa nimemdhalilisha nani jombaa??Mara nyingi unakuwa na -ve comments linapokuja swala la Millard.Kuna mida hekima ni kukaa kimya Tu kuliko kumchafua mtu
Stori za huyo jamaa kufanya hicho kitu siyo kigeni masikioni mwa wengi miaka mingi sasa,Kwa hiyo unachokiongea kila muda kuhusu yeye siyo breaking news.
Yanapoongelewa mazuri yake huna sababu ya kutia maneno ya kidhalilishaji.Samtaimz hekima na busara itumike kuliko kuchafuana
Hata km unachokiongea kina ukweli lkn si Sawa unavyofanya
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
What you see while standing on the table, others see it while seated...eti skuizi naskia mtu akiwa bize sana na mambo yake bila kuwa na dem au madem au asipojihusisha na mapenzi na ke yeyote tena ukute ni maarufu na anapesa anaitwa shoga au anaambiwa hadindishi.
Je ni lazima kujihusisha na mapenzi au kuoa????
Dah mbona huwa na comment mengi tu humu tofauti na milard ayo, usipende kufanya mambo personal sana mbona, huyo milard ayo zaidi ya ku follow page yake ya habari, pia ni celebrity lazima aseme tu ka walivo celebrity wengine, hata wewe ungekuwa celebrity ungesemwa tu ni vile haijulikani, hafu usinilishe maneno kumbe na wewe unajua hyo issue why unilaumu Sasa.Mara nyingi unakuwa na -ve comments linapokuja swala la Millard.Kuna mida hekima ni kukaa kimya Tu kuliko kumchafua mtu
Stori za huyo jamaa kufanya hicho kitu siyo kigeni masikioni mwa wengi miaka mingi sasa,Kwa hiyo unachokiongea kila muda kuhusu yeye siyo breaking news.
Yanapoongelewa mazuri yake huna sababu ya kutia maneno ya kidhalilishaji.Samtaimz hekima na busara itumike kuliko kuchafuana
Hata km unachokiongea kina ukweli lkn si Sawa unavyofanya
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nimerudia mara kadhaa kusoma Ila Sijakuelewa point yako mkuu.Unanilaumu Kwa ajili ya kupinga anachofanya cariha kumuhusu huyo Millard?1.Siyo kigeni kwako not to everybody... 2. Kama ndiyo staili yake ya maisha aliyochagua (yaani hiyo na. 1) kwa nini iwe ni udhalilishaji? Yaani mimi nikiamua kununua Punda awe ndiyo usafiri wangu badala ya bodaboda nitakuwa nimemdhalilisha nani jombaa??
Aliamua kuishi maisha ya faragha maana hakuona umuhimu wa kuwaonyesha demu wake.Jamaa alijifanya kama kijana fulani ambae mbususu sio inshu sana kwake,hata siku moja hakuwahi kuonekana kuwa na demu ambae watu wangehisi hata kuwa jamaa anatafuna.
Jamaa kila siku alkuwa busy kuisaka pesa aendelee kujitajirisha,na vijana wengi sana walitamani kuishi kama yeye yaani unazisaka pesa huna habari na mbususu.
Sasa jamaa ghafla kapindua meza,tena kwa kishindo kabsa kafunga na ndoa kabsa ingawaje ndoa yenyewe ilikuwa na element za kiuwabata.
Hongera billionea mtoto kwa kuanzisha familia.
Hujanielewa,my point is;wewe kila linapokuja swala la Millard Ayo hata Jambo lisilohusiana na mambo ya kishoga Kama hii topic lazima uingize Stori za 'jamaa ni sh@g@ hiyo ndoa ni gelesha tu'Dah mbona huwa na comment mengi tu humu tofauti na milard ayo, usipende kufanya mambo personal sana mbona, huyo milard ayo zaidi ya ku follow page yake ya habari, pia ni celebrity lazima aseme tu ka walivo celebrity wengine, hata wewe ungekuwa celebrity ungesemwa tu ni vile haijulikani, hafu usinilishe maneno kumbe na wewe unajua hyo issue why unilaumu Sasa.
Humu jukwaani na maelfu ya comments wewe unasema na chuki na huyo milard Ili iweje sasa, [emoji23][emoji23]Mimi mpenda ubuyu tu humu jukwaani usinihukumu bana,
Nimekuwlewa ila wewe umekuwa mnafiki wa kiwango Cha juu sana, kwanza milard ayo zaidi ya hii topic au mbili sijawahi ziona, naomba uweke ushahidi usio na mashaka yoyote, maana humu jukwaani na comments zaidi ya 10000 iweje useme huwa na msema huyo ayo.Hujanielewa,my point is;wewe kila linapokuja swala la Millard Ayo hata Jambo lisilohusiana na mambo ya kishoga Kama hii topic lazima uingize Stori za 'jamaa ni sh@g@ hiyo ndoa ni gelesha tu'
Sasa kuna ulazima gani wa kumwongelea mt mabaya hata pale anapoongelewa mema yake?
Sijashangaa Ila Tu nimekwazika Kwa jinsi unavyotumia nguvu kukandia mabaya yake
Mkuu kwa watu wanao mjua Millard kule mtaani walikuwa wanamuona anakaa na msichana flani muda mrefu kabla ya hiyo ndoa.Huyo kijana hana tofauti na b twelve hyo ndoa ni coverage tu ya mambo yake
Haka kajamaa niliwahi kusikia kwamba ni mmoja ya vijana wanaotafunwa akiwemo Dizoni na yule msanii maarufu wa gospelJamaa alijifanya kama kijana fulani ambae mbususu sio inshu sana kwake,hata siku moja hakuwahi kuonekana kuwa na demu ambae watu wangehisi hata kuwa jamaa anatafuna.
Jamaa kila siku alkuwa busy kuisaka pesa aendelee kujitajirisha,na vijana wengi sana walitamani kuishi kama yeye yaani unazisaka pesa huna habari na mbususu.
Sasa jamaa ghafla kapindua meza,tena kwa kishindo kabsa kafunga na ndoa kabsa ingawaje ndoa yenyewe ilikuwa na element za kiuwabata.
Hongera billionea mtoto kwa kuanzisha familia.
Huyo mwanamke wake wamedumu more than 10 years ila hyo hauwezi kuzuia mengine mbona wengi tu wanaoa.Mkuu kwa watu wanao mjua Millard kule mtaani walikuwa wanamuona anakaa na msichana flani muda mrefu kabla ya hiyo ndoa.
Alikuwa nampeleka salon au anamuita mtu wa salon nyumbani kwake kumremba huyo msichana.
Kijana yuko vizuri tu ni vile hakupenda mahusiano yake kuwa public sana kwenye mitandao na media nyingine.
UshaanzaHuyo kijana hana tofauti na b twelve hyo ndoa ni coverage tu ya mambo yake