Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

kwahiyo unamaanisha jamaa wasio na time na mwanamke/wanawake wowote, washanogewa kulana? au ndo hawadindishi?
 
Mkuu kwa watu wanao mjua Millard kule mtaani walikuwa wanamuona anakaa na msichana flani muda mrefu kabla ya hiyo ndoa.

Alikuwa anampeleka salon au anamuita mtu wa salon nyumbani kwake kumremba huyo msichana.
Kijana yuko vizuri tu ni vile hakupenda mahusiano yake kuwa public sana kwenye mitandao na media nyingine.

Waswahili wengi tukiona mtu mwenye kipato kizuri haangaiki na mapenzi au mambo ya ngono ovyo ovyo tunamhisi vibaya.
Kipato kizuri ni shilingi ngapi? Na mnajuaje kipato cha mtu
 
Mara nyingi unakuwa na -ve comments linapokuja swala la Millard.Kuna mida hekima ni kukaa kimya Tu kuliko kumchafua mtu

Stori za huyo jamaa kufanya hicho kitu siyo kigeni masikioni mwa wengi miaka mingi sasa,Kwa hiyo unachokiongea kila muda kuhusu yeye siyo breaking news.
Yanapoongelewa mazuri yake huna sababu ya kutia maneno ya kidhalilishaji.Samtaimz hekima na busara itumike kuliko kuchafuana

Hata km unachokiongea kina ukweli lkn si Sawa unavyofanya

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Walete uthibitisho wa hilo swala kwanza sio kumsema tu kila kukicha
 
Mna connection zao au proof za kutosha wakuu? Hivi watakuwa wanajisikiaje kama hizi mnazosema sio za kweli daah!!? Ni wanadamu wale aisee..
Achana na connection mkuu, mbona Hilo jambo la kawaida unafiki tu wa wabongo bana, Sasa ajiskie vibaya Ili iweje na ni starehe zao
 
Miaka 35 huyo alikuwa anatafuta kwanza wakufanan nae kwanza sio mbaya kingine alikuwa anapata msukumo kwa ndugu na jamaa utaoa lina ila jua kuoa sio lazima ni binadamu tu tumeamua kupeana stress mtu bado hayuko tayari watu wanamsema vibaya

Na mkitoka hapo mtaanza kumsema jokate
Jokate ana umri gani kwan
 
Hata baba yako alikuwa sawa na kina b twelve
As long as anazalisha no problem at all, unfortunately hajawahi fanya hivo ka kina b twelve so usiingize hapa na hata akifanya naheshimu maamuzi na starehe yake mkuu, so relax
 
Mara nyingi unakuwa na -ve comments linapokuja swala la Millard.Kuna mida hekima ni kukaa kimya Tu kuliko kumchafua mtu

Stori za huyo jamaa kufanya hicho kitu siyo kigeni masikioni mwa wengi miaka mingi sasa,Kwa hiyo unachokiongea kila muda kuhusu yeye siyo breaking news.
Yanapoongelewa mazuri yake huna sababu ya kutia maneno ya kidhalilishaji.Samtaimz hekima na busara itumike kuliko kuchafuana

Hata km unachokiongea kina ukweli lkn si Sawa unavyofanya

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kwanini anamsengenya Kwanza amekukosea nini kijana wa watu ulimzaa wewe?
 
Achana na connection mkuu, mbona Hilo jambo la kawaida unafiki tu wa wabongo bana, Sasa ajiskie vibaya Ili iweje na ni starehe zao

Daah! Sasa Wanaokula tobo nyezi za hawa ni kina nani..
Maana inasemekana wanaliwa wanaliwa wanaowala kina nani?
Anyway ni starehe zao
 
Walete uthibitisho wa hilo swala kwanza sio kumsema tu kila kkukicha
Hili ni tatizo la wabongo wengi,mtu akisikia Stori mahali anaibeba km ilivyo nae anaenda kuisambaza km alikuwepo.Akiulizwa ulikuwepo eneo la tukio anajibu Mimi nimesikia Tu

Km hawana ushahidi Wampumzishe jamaa sasa Kwa hizi Stori zao asee,zinachosha kuzipa airtime bila ushahidi wowote
 
Daah! Sasa Wanaokula tobo nyezi za hawa ni kina nani..
Maana inasemekana wanaliwa wanaliwa wanaowala kina nani?
Anyway ni starehe zao
Nyie wenyewe mnakulana wanaume hasira mje kumalizia wengine aisee, mwisho wa siku starehe ya mtu hyo
 
Back
Top Bottom