Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

Kuna bro mmoja anatoka familia ya machifu uchagani. Alio akazaa ila naye wadau wakawa wanamnanihii. Alfariki sikumbuki kwa
Kitu gani. Ila huu mchezo kwa kweli unaharibu sana vijana wa kiume. Hasa wenye uwezo. Ila labda kwo ndio maendeleo….
Sijui Kuna Siri gani ila wengi nao Ili kutoboa huwa ni mojawapo ya masharti ya kutumika na wenye nafasi zao labda
 
Real! These fucking idiots have to strictly and closedly get dealt-with!
 
Huyo dogo Kuna kipindi alikuwa anatafuna toto ya UD... Alikuwa anaikula ndani ya gari.. Nje ya hostel ya huyo binti.. Msewe ndani ndani huko mitaa ya Kwa chief flani..

Kamalaya ka chini Kwa chini... Kanamailizia ndani ya gari.. Hotelin humkuti na mabinti au viwanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Indeed
 
sema tu kwa
Kwa chief kunambi.
Mimi mwenyewe wanavyomsema vibaya hapa nashangaa kwa sababu nimekaa msewe kuna kipindi alikuwa anambandua demu mmoja aliitwa besta. Kuna siku tulipishana mahali roho iliniuma kwa sababu yeye maarufu halafu mimi pangu pakavu.
Ikabidi nijitoe kwa maslahi mapana ya nchi.
 

Mbona unakuwa mkali ni kwamba millard kakuacha na hakukuoa wewe ama?
 
Ile hostel kule bondeni alikuwa anawatafuna haswaa.. Kulikuwa na Hao wanafunzi na watoto wengine walikuwa wanafanya dancing na promotion mbali mbali.. Jamaa alikuwa anawabadili haswa ndani ya gari..

Hadi wakamuwekea mtego.. Wahuni wakampukutisha hela.. Maisha yakaendelea..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Millard kiuhakika kabisa kwa endorsement zote anazopata na mshahara wake. Sidhani kama anaingiza chini ya 10m kwa mwezi na hayo ni makadirio ya chini sana kwa blogger na influencer A'list kama yeye
 
Katika jamii zetu kuna hili tatzo sana watu wanauliza sana hasa wanapokuona kiuchumi uko vzur afu ukawa unaonekana huna mpango wa kuoa,mwsho wa siku misukumo hii inampelekea kijana kuoa na kujiingiza matatizon hasa anapokutana na mwanamke mwehu na kujikuta kijana anapolomoka kiuchumi
 
Huyo ndiye mwanaume sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…