Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asanteee maana kuna watu humu sjui wakojee.
So beautifully jamani, duh, love ❤ herView attachment 547194 punguza negativity...she had a misscarriage a year back..so she wasnt so sure if she will sustain to 9months thats why she was quite ..
love thé love or hâte thé love.....
Kufanyiwa surgeries 13 possibility ya kuzaa huwa ni ndogo na hata hivo mambo ya kupata mtoto huwa ni baraka za Mungu. Kuna watu wazima lakini hao watoto hawawapati.Mbona mimi sijabisha?
Kwanini sasa alitangazia watu kuwa hataweza zaa afu kazaa, huoni aliwakatisha tamaa watu wenye hilo tatizo?
Kufanyiwa surgeries 13 possibility ya kuzaa huwa ni ndogo na hata hivo mambo ya kupata mtoto huwa ni baraka za Mungu. Kuna watu wazima lakini hao watoto hawawapati.
Acheni kujudge while you can't even fit in her shoes[emoji57] [emoji57]
na inakuaje mtoto kapewa jina la kwao..
Kwani unachofanya hapa ni nini.We nae mbona unakurupuka, unajua maana ya kumuhukumu mtu?
Inawezekana
Wewe ndo ulienda kumfanyia mambo kwa waganga asipate mtoto sasa roho inakupasuka,
Utajijuuu babuuuuyu
u mwanzo nakufuatilia nakuona roho inavyokuuma, pole shost mwenzio sahiv. Ananyonyesha atiiii,naona mmeanza jitokeza kwa wingi sasa
Mungu hufanya miujiza kwa wanaomtegemeaKama ni kweli, nampongeza sana kwa kuweza kuishi kipindi cha ujauzito wake kwa usiri..binafsi sikuwahi kusikia au kuona picha za tumbo lake kama wengine wanavyofanya. Mungu awatunze yeye na mwanawe.
Ndio Ndio,nakumbukaMange alisemaga Kua Magesse ni mjamzito mbonaaa...!!!
none of the above
I've get you Nigger...huyu mama kwenye interviews zake alikuwa akisema hataweza kupata mimba kwa njia ya kawaida ila anaweza kuzaa kwa IVF au kutumia surrogate mother. na alisema kabisa kuna mayai yake yalishatolewa na kuhifadhiwa laboratory, kuna uwezekana kuwa ametumia ivf kufanikisha hitajio lake!
I've get you Nigger...huyu mama kwenye interviews zake alikuwa akisema hataweza kupata mimba kwa njia ya kawaida ila anaweza kuzaa kwa IVF au kutumia surrogate mother. na alisema kabisa kuna mayai yake yalishatolewa na kuhifadhiwa laboratory, kuna uwezekana kuwa ametumia ivf kufanikisha hitajio lake!