Millen Magese (Happiness Magese) apata mtoto

Dada jide na wewe jitahid mpendwa upandikeze upate mtoto
 
Mbona mimi sijabisha?
Kwanini sasa alitangazia watu kuwa hataweza zaa afu kazaa, huoni aliwakatisha tamaa watu wenye hilo tatizo?
Kufanyiwa surgeries 13 possibility ya kuzaa huwa ni ndogo na hata hivo mambo ya kupata mtoto huwa ni baraka za Mungu. Kuna watu wazima lakini hao watoto hawawapati.

Acheni kujudge while you can't even fit in her shoes[emoji57] [emoji57]
 
We nae mbona unakurupuka, unajua maana ya kumuhukumu mtu?
 
Kama ni kweli, nampongeza sana kwa kuweza kuishi kipindi cha ujauzito wake kwa usiri..binafsi sikuwahi kusikia au kuona picha za tumbo lake kama wengine wanavyofanya. Mungu awatunze yeye na mwanawe.
Mungu hufanya miujiza kwa wanaomtegemea
 
huyu mama kwenye interviews zake alikuwa akisema hataweza kupata mimba kwa njia ya kawaida ila anaweza kuzaa kwa IVF au kutumia surrogate mother. na alisema kabisa kuna mayai yake yalishatolewa na kuhifadhiwa laboratory, kuna uwezekana kuwa ametumia ivf kufanikisha hitajio lake!
I've get you Nigger...
 
Back
Top Bottom