Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
- Thread starter
- #41
Sehemu kubwa ya mfumo wa maisha yetu tumerithi kwa wakoloni, vitu vingine vina manufaa vingine havina manufaa yoyote kwetu na mojawapo ni huu ulazima wa kula milo mitatu kwa siku kwa raia wengi.Mkuu kwa muktadha wako huu basi kila kitu tumerithi kwa wakoloni
Nikikwambia unitajie vitu ambavyo sio vya “wakoloni” utapata tabu sana kuvitaja mkuu
Wewe ungekuja tu na hoja yako kwamba ulaji unatakiwa kuwaje dhidi ya ulaji uliopo