Sehemu kubwa ya mfumo wa maisha yetu tumerithi kwa wakoloni, vitu vingine vina manufaa vingine havina manufaa yoyote kwetu na mojawapo ni huu ulazima wa kula milo mitatu kwa siku kwa raia wengi.Mkuu kwa muktadha wako huu basi kila kitu tumerithi kwa wakoloni
Nikikwambia unitajie vitu ambavyo sio vya “wakoloni” utapata tabu sana kuvitaja mkuu
Wewe ungekuja tu na hoja yako kwamba ulaji unatakiwa kuwaje dhidi ya ulaji uliopo
Si KIINGEREZA iki mkuu?breakfast within 2 hours of rising with focus on lean protein and low-sugar fruit;
lunch: midday paying attention to lean protein + complex carbs;
dinner before 8 pm with focus on fiber + low saturated fat;
and snacks focusing on high fiber + lean protein.
Ushauri wa ki afya.Si KIINGEREZA iki mkuu?
So wazee wetu walivokua wanalima, hawakua wanakula mchana? Think about it. Fikiria chakula kama kande na Togwa (jamii za Iringa, Njombe, Same nk ) wanajua hi. Walikua wanakwenda na hivo vyakula shambani, mapumzikoni wanakula. Hi nayo ililetwa na Wazungu? Mbona tunajidharau hivi?😏Milo mitatu tumerithi kwa wakoloni
Ewaaaaah, saafi!Ushauri wa ki afya.
Asubuhui masaa mawili baada ya jua kuchomoza pendelea kula vyakula vyenye protini kama mayai. na matunda yenye sukari kidogo kama parachichi.
Mchana pendelea kula kama kawaida protein nyingine yoyote na vyakuka vyenye wanga.
Na jioni majira ya saa 2 kasoro hivi pendelea kula vyenye nyuzi nyuzi na vyenye mafuta kiasi.
Hao ndiyo walafi wenye matumbo makubwa kushinda hata wake zao waliojifungua watoto zaidi ya wanne.Watu wengi hawajawahi ku experience njaa, Njaa wanazosisema ni hizi ambazo imetokea kuvurugika tu kwa ratiba ya Milo yao mfano mtu mwenye ratiba ya kula Milo mitatu ndani ya mda Fulani ikitokea amechelewa kula ndani ya mda huo atakwambia anahisi njaa ila njaa, njaa kweli ni Ile ambayo mtu anatoboa kuanzia masaa 12 na kuendelea bila kula chochote
Ni lugha tuu mmepichana,;kula utakavyoona inafaa na njaa Yako.So wazee wetu walivokua wanalima, hawakua wanakula mchana? Think about it. Fikiria chakula kama kande na Togwa (jamii za Iringa, Njombe, Same nk ) wanajua hi. Walikua wanakwenda na hivo vyakula shambani, mapumzikoni wanakula. Hi nayo ililetwa na Wazungu? Mbona tunajidharau hivi?😏
Umerudi jamaa yeye tuu mmepishana padogo!umuch know ni kiswahili?!!!!!Ewaaaaah, saafi!
Kuiweka sawa hii... Si kwamba sikuelewa ulichomaanisha ila inapendeza zaidi ungereply kwa lugha iliyoandikwa kwa post husika inakaa poa sana.. Ingekua kiingereza na ukajibu kiingereza apo sawa ila post ya kiswahili ww unashusha nondo kwa kiingereza inaonekana KAMA UNATAKA SIFA au U MUCH KNOW mwingiiii...😄 sio kwa ubaya mkuu ni kuekana sawa tu
Sawa punguza lishe!Mimi nipo Dar,kama hivi asubuhi nimeshapiga gawaha vikombe viwili,nakaa kidogo nakunywa tangawizi kikombe kimoja (kipimo vile vikombe vya kahawa) saa sita nakula sahani ya matunda mixer hapo tena ni maji sitii kitu tumboni.
Baadae kwenye saa nane nakula bites karanga korosho saa kumi na moja natafuta muwa au kipande cha muhogo m'bichi jioni saa moja niko rodin nakimbiza upepo(jogging) maana nina kakitambi kasikojulikana mwanzo wake na uzito mkubwa.
NISAMEHE SANAUmerudi jamaa yeye tuu mmepishana padogo!umuch know ni kiswahili?!!!!!
Sawa mkuu,Iko vizuri!NISAMEHE SANA
Pamoja chief.Ewaaaaah, saafi!
Kuiweka sawa hii... Si kwamba sikuelewa ulichomaanisha ila inapendeza zaidi ungereply kwa lugha iliyoandikwa kwa post husika inakaa poa sana.. Ingekua kiingereza na ukajibu kiingereza apo sawa ila post ya kiswahili ww unashusha nondo kwa kiingereza inaonekana KAMA UNATAKA SIFA au U MUCH KNOW mwingiiii...😄 sio kwa ubaya mkuu ni kuekana sawa tu
Nime mnukuu mchangiaji, sio mleta uzi. Kasema eti milo 3 imeletwa na Wazungu.Ni lugha tuu mmepichana,;kula utakavyoona inafaa na njaa Yako.
Sio wafanyakazi!Nime mnukuu mchangiaji, sio mleta uzi. Kasema eti milo 3 imeletwa na Wazungu.
Majina tu hayo bro. Labda kama neno breakfast ndio tuseme limeletwa na Wazungu but asubuhi watu wanao fanya kazi ngumu walikua wanakula, tena ugali mkubwa tu, sio chai kama sasa. Jamii za wafugaji as well, nao walikua wanakula kwanza asubuhi ndio wanakwenda kuchunga mifugo yao, labda hawa mchana ndio walikua wana kunywa kunywa zaidi na zio kula or else maporini huko walikua wanakula matunda, mizizi na hata nyama pori as well.Unafikiri babu wa babu yako alikuwa anakula breakfast??