Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Imeisha hiyo tukutane makundiHuyu akirudi hata hapati tabu kupanga kikosi chake. Ata copy na ku paste kikosi chake kilichomtandika Azam.
Tukutane makundiNa iwe hivyo
Kwa Miloud Yanga ilikuwa ina uhakika wa ushindi zaidi ya asilimia 70 sijui ilikuwaje uongozi ukamuacha na kuamua ku bet na kocha mpya asiyekuwa na uzoefu wowote ule na CV ya ovyo. Viongozi walikosea sana.Imeisha hiyo tukutane makundi
Kocha alipata ofa nzuri zaidi. Bado hatuna msuli wa fedha kwenda sambamba na timu za waarabuKwa Miloud Yanga ilikuwa ina uhakika wa ushindi zaidi ya asilimia 70 sijui ilikuwaje uongozi ukamuacha na kuamua ku bet na kocha mpya asiyekuwa na uzoefu wowote ule na CV ya ovyo. Viongozi walikosea sana.
Hivi kati ya Yanga na Ismaily ni nani mwenye msuli wa ushawishi kwasasa? Ismaily inayopambana isishuke daraja iweze kuizidi Yanga iliyojijenga kwa kugombea mataji ya ndani na huku ikiwa na uhakika wa kucheza klabu bingwa Africa ndio ishindwe na Ismaily iliyojichokea? Wangekuwa na pesa ya ku battle au project ya maana kama Yanga basi tungeona wamefanya usajili mkubwa wa wachezaji lakini hakuna. Viongozi waliishi kwa mazoea kuwa, ujeuri na kuamini kuwa tutapata kocha mzuri kuliko Miloud hivyo hawakuona ulazima wa kumbakisha.Kocha alipata ofa nzuri zaidi. Bado hatuna msuli wa fedha kwenda sambamba na timu za waarabu
Kwenye nyakati za matatizo hutaki kabisa kujihusisha na timu yakoNabi pia yupo idle mshindwe wenyewe
Miloud mwenyewe alishasema kuwa aliona nia ya wazi ya viongozi kuwa hawamuhitaji.Kuna makocha ambao wao ndio wanakuwa wametaka kuondoka (mfano Miloud, Nabi na Fadlu wa makolo) huwezi kuwalazimisha wabaki. Halafu kuna wale wanakuwa wametimuliwa (mfano Gamondi na FOIL). Mimi nafiiri ni bora kumrudisha uliyemtimua kuliko aliyejiamulia kuondoka na kukuacha solemba.
Matatizo gani?Kwenye nyakati za matatizo hutaki kabisa kujihusisha na timu yako
Nabii atulie kwanzaNabi pia yupo idle mshindwe wenyewe
Kocha anaweza kuangalia masilahi yake pia.Hivi kati ya Yanga na Ismaily ni nani mwenye msuli wa ushawishi kwasasa? Ismaily inayopambana isishuke daraja iweze kuizidi Yanga iliyojijenga kwa kugombea mataji ya ndani na huku ikiwa na uhakika wa kucheza klabu bingwa Africa ndio ishindwe na Ismaily iliyojichokea? Wangekuwa na pesa ya ku battle au project ya maana kama Yanga basi tungeona wamefanya usajili mkubwa wa wachezaji lakini hakuna. Viongozi waliishi kwa mazoea kuwa, ujeuri na kuamini kuwa tutapata kocha mzuri kuliko Miloud hivyo hawakuona ulazima wa kumbakisha.
Hapana Mkuu kocha ulie mfukuza kumfuata tena nikama mwanamke ulie shindana nae kwa tabia yake mbaya alafu unaanza kumhitaji lazima awe na nyodoKuna makocha ambao wao ndio wanakuwa wametaka kuondoka (mfano Miloud, Nabi na Fadlu wa makolo) huwezi kuwalazimisha wabaki. Halafu kuna wale wanakuwa wametimuliwa (mfano Gamondi na FOIL). Mimi nafiiri ni bora kumrudisha uliyemtimua kuliko aliyejiamulia kuondoka na kukuacha solemba.
Mkuu hoja yangu ni kwamba viongozi hawakuona umuhimu wake ndio maana hawakufikiria kukaa nae mezani ili wamboreshee maslahi yake. Kama waliwaza kubakia na wachezaji wao muhimu kwa namna yeyote ile, je imeshindikana nini kumbakiza mwalimu aliyewapa mataji na matokeo mazuri kwa kipindi kifupi mno? Kwasasa Ismaily haina uwezo kiuchumi, kuipiku Yanga.Kocha anaweza kuangalia masilahi yake pia.