Miloud Hamdi atemwa Ismaly, Yanga ndio nafasi pekee ya kumrudisha ndio hii

Miloud Hamdi atemwa Ismaly, Yanga ndio nafasi pekee ya kumrudisha ndio hii

Za ndaani kabisa zinasema Nabi ndiye anayepigiwa chapuo. Ingawa katika uhalisia, ni Miloud Hamdi ndiye aliyefanikiwa msimu uliopita kuleta utulivu ndani ya timu baada ya kukumbwa na dhoruba kali wakati ligi inaendelea.
Miloud alituliza mambo kwa muda mfupi sana, Nabi ndio aina ya makocha wale wale wa kutaka kupewa muda. Miloud ni kocha wa matokeo zaidi
 
Hapana Mkuu kocha ulie mfukuza kumfuata tena nikama mwanamke ulie shindana nae kwa tabia yake mbaya alafu unaanza kumhitaji lazima awe na nyodo
Hapanaaa!!
Yule aliyeondoka kwa ridhaa yake ndio atakua na nyodo, maana hakukuhitaji wee, ila yule uliye timua, hatakua na nyodo kwani alikuhitaji ila wee hukumuhitaji.
Atathamini upendo wako kwa kurudi kwake.
 
Mfano tu lakini. Usije fanya upuuzi huu katika maisha yako yote. Mwanamke akikufanyia vituko ukamuonya inashindikana ukamfukuza usimrudie tena
Sasa kati ya mwanamke aliyekosea na akaomba msamaha ila wee ukakataa na ukamtimua.

Na yule aliyeamua kujiondokea yeye mwenyewe kwa ridhaa yake kwenda kuolewa na bwana mwingine.

Yupi anafaa kurudiana nae? Akili kum kichwaaa.
 
Si hayo ya kutimua kocha kwasababu timu haichezi mnavyotaka
Kutimua kocha ni matatizo? Afadhari Yanga wanatimua makocha na wanachukua ubingwa sisi huku kwetu hatujui hata tumtimue nani maana kila msimu ni yale yale
 
Gamondi haswa kuachwa kwake nilisikia alianza kutumika na upande wa pili kuihujumu timu anayoifundisha ndio wakamtema,
Uwezekano wa gamond kurud n mdogo.
Twende na Miloud,father hana mbwembwe na timu ilikuwa tactical atleast kwa michuano ya ndani
 
Back
Top Bottom