Mamelod hatukuwa na Pacome wala Aucho.gamond was real a coach. Nakumbuka zile mechi mbili na mamelod pale nilivua kofia. Hapo SIJATAJA Ile na belouzdad
Mamelod hatukuwa na Pacome wala Aucho.gamond was real a coach. Nakumbuka zile mechi mbili na mamelod pale nilivua kofia. Hapo SIJATAJA Ile na belouzdad
Mkuu pamoja na video ya wakala wa Miloud bado umegoma kuamini kama viongozi wamezingua?Sina uhakika sana kama Yanga Yanga walimwacha Miloud na wakaenda kumleta mwanafunzi Folz afanye field kwenye timu yetu, ila kama walifanya hivi walikosea
Bora kama walimtaka Folz wangemleta coach msaidizi kama mwaka apate uzoefu
Nimeona mkuuMkuu pamoja na video ya wakala wa Miloud bado umegoma kuamini kama viongozi wamezingua?
Gamondi ni master, Singida ya sasa hivi wapinzani wajiandae atafukuzisha mtu kaziYule mzee bwana alijua kutuheshimisha
Yaani tulikosa key players watatu ila kwenye press anasema kwa dharau kuwa atawatumia wachezaji waliopo kwani wana uwezo hawezi kumtumia mchezaji majeruhi.
Tulitolewa lakini tulitoka kifua mbele
Tunahitaji kocha anayejua kuzicheza game kimataifa kama yule mzee
Only miloud can do than ukiachana na gamondi
Kwasasa ni kupambana tu tufuzu hatua ya makundi, itakuwa aibu sana kama ikitokea Yanga pekee ndio imeshindwa kuingia makundi kwa Tanzania.Nimeona mkuu
Hakika walizingua ila ni jambo la kawaida kwenye uongozi, wao waliamini umri wa Folz wakimpa kikosi Bora nae atakuwa na kiu ya kufanya vizuri, wakaja kukuta sifa yake kuu ni kununa
Hata usiwe na wasiwasi hao Wamalawi tunawafunga goli 3Kwasasa ni kupambana tu tufuzu hatua ya makundi, itakuwa aibu sana kama ikitokea Yanga pekee ndio imeshindwa kuingia makundi kwa Tanzania.
Akili zote sahivi mmempa hersi "mungumtu" wa yanga. Jamaa huwa hakosei. Huyu kocha mlipigia makofi na kumpamba kwa kila kitu kisa tu alikuwa endorsed na hersiHapa tunajadili wenye akili sio wewe kichwa panzi senene mkubwa.
Mashabiki wa yanga wengi tumejaa akili na uwezo mkubwa
Shida kwa wanasimba kama wewe si umeona unavyoongea mashudu tu hapa?
Hao wa Malawi mnawatoa hakuna timu pale first half game itakua inasoma 2-0Kwasasa ni kupambana tu tufuzu hatua ya makundi, itakuwa aibu sana kama ikitokea Yanga pekee ndio imeshindwa kuingia makundi kwa Tanzania.
Nimebidi nijiridhishe katika hili kwanza,
Ni kweli kama walivyosema wadau huko juu, viongozi wa Yanga ndio walimfungia vioo Miloud.
View: https://www.instagram.com/reel/DLozQG1MTzG/?hl=en
Hersi asifanye makosa ya kuleta tena wazungu, hawa watu wanadharau na viburi halafu hamna kituNiliskia kuna yule kocha anaitwa Dino yupo kwenye radar
Tufanye yote ila Ramovich asiletwe jamaa mpira upo mdomoni sana na alitutemea shit sana
Kwa upuuzi alioufanya wa kumtimua Miloud na kumleta Folz, hapana. Akae pembeni wengine wamsaidie kazi.Tugange yajayo hamna haja ya kumrudisha huyo Miloud, Hersi aangalie kocha mpya mwengne kama ni CV ataipatia hapa hapa
Tusi panic mkuuKwa upuuzi alioufanya wa kumtimua Miloud na kumleta Folz, hapana. Akae pembeni wengine wamsaidie kazi.
Naunga mkono hojaKwa umuch know wa Hersi utashangaa anaenda kumuokota Eminem mwingine huko duniani wa kuja kuwafanyia majaribio wachezaji ambao tayari wanajua majukumu yao wawapo uwanjani!
Huyu Mwamba aliimudu timu ndani ya muda mfupi sana. Angerudishwa, mashabiki tungepata utulivu wa nafsi.
Yes, hii Miloud ilimuumiza sana. Aliitamka akasema alinyamaziwa kimya na viongozi wa Yanga.Ilikuwa ina msuli wa fedha ila sio kwasasa, kwasasa wana hali ngumu na ndio maana wana struggle kwa misimu miwili mfululizo wao ni kutetea kutoshuka daraja tu. Lakini yote yote wadau wamekumbusha kuwa Miloud na wakala wake walitoa ufafanuzi kuwa viongozi wa Yanga walimfungia vioo kumpa mkataba mpya.
Baada ya kupoteza Game kule mkoani, watu wakapiga kelele amtimue kocha, na ile international break ilikuwa nzuri zaidi kwa kocha mwingine.Tusi panic mkuu
Timu ya mpira lazima ipitie vipindi vigumu
Ananuna hovyo kama yupo kwenye siku za hedhi.Nimeona mkuu
Hakika walizingua ila ni jambo la kawaida kwenye uongozi, wao waliamini umri wa Folz wakimpa kikosi Bora nae atakuwa na kiu ya kufanya vizuri, wakaja kukuta sifa yake kuu ni kununa
Ananuna tumuone yuko serious kumbe tapeli tu.Ananuna hovyo kama yupo kwenye siku za hedhi.
Huyo Miloud au Gamond aitwe haraka Jmosi tuwe naye uwanjani. Mimi nitaingia uwanjani VIP C.Ananuna tumuone yuko serious kumbe tapeli tu.
Mtu ana 34, atamwambia nini Pacome, Muda, Diarra n.k? Ni mtoto tu yule.Nasikia kumbe hata baadhi ya wachezaji ndani ya klabu walikuwa hawamkubali. Sasa sijui shida ilikuwa ni mbinu zake, au ni ile style yake ya kujifanya hacheki na mtu!!!