Miloud Hamdi atemwa Ismaly, Yanga ndio nafasi pekee ya kumrudisha ndio hii

Miloud Hamdi atemwa Ismaly, Yanga ndio nafasi pekee ya kumrudisha ndio hii

Kuna makocha ambao wao ndio wanakuwa wametaka kuondoka (mfano Miloud, Nabi na Fadlu wa makolo) huwezi kuwalazimisha wabaki. Halafu kuna wale wanakuwa wametimuliwa (mfano Gamondi na FOIL). Mimi nafiiri ni bora kumrudisha uliyemtimua kuliko aliyejiamulia kuondoka na kukuacha solemba.
Uongo huo Miloud hakutaka kuondoka ni viongozi wa Yanga walmkalia kimya baada ya msimu kuisha hadi wakala wake huyo kocha aliwahi kulalamikia hiyo hali ya viongozi wa Yanga kukaa kimya bila kuzungumzia chochote kuhusu mkataba mpya ilihali kocha wake ameipa yanga mafanikio
 
Kwa Miloud Yanga ilikuwa ina uhakika wa ushindi zaidi ya asilimia 70 sijui ilikuwaje uongozi ukamuacha na kuamua ku bet na kocha mpya asiyekuwa na uzoefu wowote ule na CV ya ovyo. Viongozi walikosea sana.
Inawezekana al masry hao walituzidi dau na mwenyewe alipanga kuondoka
 
Kwa umuch know wa Hersi utashangaa anaenda kumuokota Eminem mwingine huko duniani wa kuja kuwafanyia majaribio wachezaji ambao tayari wanajua majukumu yao wawapo uwanjani!

Huyu Mwamba aliimudu timu ndani ya muda mfupi sana. Angerudishwa, mashabiki tungepata utulivu wa nafsi.
Analeta siasa kuwafurahisha rafiki zake kina wenger
 
Uongo huo Miloud hakutaka kuondoka ni viongozi wa Yanga walmkalia kimya baada ya msimu kuisha hadi wakala wake huyo kocha aliwahi kulalamikia hiyo hali ya viongozi wa Yanga kukaa kimya bila kuzungumzia chochote kuhusu mkataba mpya ilihali kocha wake ameipa yanga mafanikio
Basi kama ni hivyo tulikosea sana kumbe alipenda kubaki
 
Tugange yajayo hamna haja ya kumrudisha huyo Miloud, Hersi aangalie kocha mpya mwengne kama ni CV ataipatia hapa hapa
Ndio hayo hayo ya Folz ambaye alikuja kuitafutia CV hapa mkuu
Yanga tulishatoka huko sio team ya majaribio tunahitaji kocha aliye kamili kama miloud na sio hao wanafunzi
 
Kwa umuch know wa Hersi utashangaa anaenda kumuokota Eminem mwingine huko duniani wa kuja kuwafanyia majaribio wachezaji ambao tayari wanajua majukumu yao wawapo uwanjani!

Huyu Mwamba aliimudu timu ndani ya muda mfupi sana. Angerudishwa, mashabiki tungepata utulivu wa nafsi.
Umuch know ndio point ya msingi
 
Mkuu hoja yangu ni kwamba viongozi hawakuona umuhimu wake ndio maana hawakufikiria kukaa nae mezani ili wamboreshee maslahi yake. Kama waliwaza kubakia na wachezaji wao muhimu kwa namna yeyote ile, je imeshindikana nini kumbakiza mwalimu aliyewapa mataji na matokeo mazuri kwa kipindi kifupi mno? Kwasasa Ismaily haina uwezo kiuchumi, kuipiku Yanga.
Mkuu kuendesha club sio tahisi kihivyo. Kocha ana matakwa yake pia vitabu vya kihasibu lazima vi-balace. Halafu hiyo ismaily ni timu yenye historia kubwa misri. Kwa sasa inayumba lakini sio timu ndogo, ina msuli wa hela
 
gamond was real a coach. Nakumbuka zile mechi mbili na mamelod pale nilivua kofia. Hapo SIJATAJA Ile na belouzdad
Yule mzee bwana alijua kutuheshimisha

Yaani tulikosa key players watatu ila kwenye press anasema kwa dharau kuwa atawatumia wachezaji waliopo kwani wana uwezo hawezi kumtumia mchezaji majeruhi.

Tulitolewa lakini tulitoka kifua mbele
Tunahitaji kocha anayejua kuzicheza game kimataifa kama yule mzee

Only miloud can do than ukiachana na gamondi
 
Bora hata ingekuwa Al Masry ningeamini katika kushindwa ku battle nao katika dau ila Al Ismaily aisee ni ngumu kukubali kuwa uongozi ulishindwa kukaa mezani kumboreshea maslahi yake.
Swala ni je Miloud alipenda kubaki? Ukute alipenda ila hawakumpa.mkataba au hakutaka kubaki napenda kujua hili mkuu
 
Mkuu kuendesha club sio tahisi kihivyo. Kocha ana matakwa yake pia vitabu vya kihasibu lazima vi-balace. Halafu hiyo ismaily ni timu yenye historia kubwa misri. Kwa sasa inayumba lakini sio timu ndogo, ina msuli wa hela
Ilikuwa ina msuli wa fedha ila sio kwasasa, kwasasa wana hali ngumu na ndio maana wana struggle kwa misimu miwili mfululizo wao ni kutetea kutoshuka daraja tu. Lakini yote yote wadau wamekumbusha kuwa Miloud na wakala wake walitoa ufafanuzi kuwa viongozi wa Yanga walimfungia vioo kumpa mkataba mpya.
 
Puuzi moja kubwa sana wewe. Unafikiri kuifunga simba kiujanja ujanja ndio ushawishi huko duniani? Aliondoka utopotolo sababu ya ushawishi wa fedha hao waarabu. Unaongea utopolo gani hapa?
Hapa tunajadili wenye akili sio wewe kichwa panzi senene mkubwa.

Mashabiki wa yanga wengi tumejaa akili na uwezo mkubwa

Shida kwa wanasimba kama wewe si umeona unavyoongea mashudu tu hapa?
 
Niliskia kuna yule kocha anaitwa Dino yupo kwenye radar

Tufanye yote ila Ramovich asiletwe jamaa mpira upo mdomoni sana na alitutemea shit sana
Ramovic ni ngumu kuja kufanya kazi huku
Tuwe wakweli hakuna Coach atagoma kufanya kazi Algeria, Morocco, Egypt, Tunisia au South Africa
Kumbuka kule Kuna maisha mazuri acha mbali mambo ya malipo.
Ni ngumu kumtoa Ramovic pale Algeria aje huku ulimwengu wa 3 kucheza na Mashujaa Kigoma uwanja upo kama majaruba,
 
Ilikuwa ina msuli wa fedha ila sio kwasasa, kwasasa wana hali ngumu na ndio maana wana struggle kwa misimu miwili mfululizo wao ni kutetea kutoshuka daraja tu. Lakini yote yote wadau wamekumbusha kuwa Miloud na wakala wake walitoa ufafanuzi kuwa viongozi wa Yanga walimfungia vioo kumpa mkataba mpya.
Sina uhakika sana kama Yanga Yanga walimwacha Miloud na wakaenda kumleta mwanafunzi Folz afanye field kwenye timu yetu, ila kama walifanya hivi walikosea
Bora kama walimtaka Folz wangemleta coach msaidizi kama mwaka apate uzoefu
 
Back
Top Bottom