Miloud Hamdi atemwa Ismaly, Yanga ndio nafasi pekee ya kumrudisha ndio hii

Miloud Hamdi atemwa Ismaly, Yanga ndio nafasi pekee ya kumrudisha ndio hii

Ramovic ni ngumu kuja kufanya kazi huku
Tuwe wakweli hakuna Coach atagoma kufanya kazi Algeria, Morocco, Egypt, Tunisia au South Africa
Kumbuka kule Kuna maisha mazuri acha mbali mambo ya malipo.
Ni ngumu kumtoa Ramovic pale Algeria aje huku ulimwengu wa 3 kucheza na Mashujaa Kigoma uwanja upo kama majaruba,
Yule nae ni mbovu tu, hamna kitu mule.
 
Nasikia kumbe hata baadhi ya wachezaji ndani ya klabu walikuwa hawamkubali. Sasa sijui shida ilikuwa ni mbinu zake, au ni ile style yake ya kujifanya hacheki na mtu!!!
Labda timu ilikuwa inacheza kama timu ya shule
Nilitamani hata huko group stage tusifike, maana huko unaenda kupewa maswali ya kimbuni, kama coach unaona hapa nafanyaje
 
Kabisa yoyote atakayekuja sawa.

Japo napenda aje Miloud kuliko Gamond.

Ila injinia sasa!

Utashangaa anaibuka na kocha wake from no where anaanza tena majaribio.
Watafute tu coach mzuri tu hata hao makocha waliongezewa thamani na Yanga,
Gamondi ametokea Yanga akaenda kufeli huko Libya
Miloud kaja kuwa bingwa Yanga, kaenda Egypt timu yake inabuluza mkia
Nabi katika Elmerik ya Sudan akiwa ametokea kutimuliwa kaja kupandisha thamani akiwa Yanga, akaenda kufukuzwa Kaizer

Makocha wapo na hao siamini ati wakija ndo kuwa hawawezi kufeli
 
Mbona hujamalizia na Folz minuno kwenye list? Kuhitaji kocha Gamondi au Miloud ni kama dharura ya kuokoa nyumba inayoungua moto. Kocha mpya ambaye ni mgeni atahitaji muda kuandaa timu na kuwajua wachezaji wake. Lakini wakija hao wawili hawatohitaji muda bali kuelekeza mambo machache ya kimbinu na ufundi kisha kuingia na mkakati sahihi katika kufuzu makundi dhidi ya hao Silver strikers
 
Mbona hujamalizia na Folz kweenye list? Kuhitaji kocha Gamondi au Miloud ni kama dharura ya kuokoa nyumba inayoungua moto. Kocha mpya ambaye ni mgeni atahitaji muda kuandaa timu na kwa kuwajua na kiwasoma wachezaji wake. Lakini wakija hao wawili hawatohitaji muda bali kuelekeza mambo machache ya kimbinu na ufundi kisha kuingia na mkakati sahihi katika kufuzu makundi dhidi ya hao Silver strikers
Hicho ndio tunasemea
 
Mbona hujamalizia na Folz minuno kwenye list? Kuhitaji kocha Gamondi au Miloud ni kama dharura ya kuokoa nyumba inayoungua moto. Kocha mpya ambaye ni mgeni atahitaji muda kuandaa timu na kuwajua wachezaji wake. Lakini wakija hao wawili hawatohitaji muda bali kuelekeza mambo machache ya kimbinu na ufundi kisha kuingia na mkakati sahihi katika kufuzu makundi dhidi ya hao Silver strikers
Naombea sana Gamondi arudi lakini nadhani atakuwa aliachana vibaya na viongozi
 
Naombea sana Gamondi arudi lakini nadhani atakuwa aliachana vibaya na viongozi
Huyu ngumu kurudi waliachana kwa ugomvi sana ni ngumu sana tufanye tu Miloud anatutosha

Hakuna namna ya kuja na mwengine zaidi kuanza upya tena tumeshachelewa
 
Huyu ngumu kurudi waliachana kwa ugomvi sana ni ngumu sana tufanye tu Miloud anatutosha

Hakuna namna ya kuja na mwengine zaidi kuanza upya tena tumeshachelewa
Me kwakweli nitaheshimu maaamzi ya viongozi wetu
 
Hivi kati ya Yanga na Ismaily ni nani mwenye msuli wa ushawishi kwasasa? Ismaily inayopambana isishuke daraja iweze kuizidi Yanga iliyojijenga kwa kugombea mataji ya ndani na huku ikiwa na uhakika wa kucheza klabu bingwa Africa ndio ishindwe na Ismaily iliyojichokea? Wangekuwa na pesa ya ku battle au project ya maana kama Yanga basi tungeona wamefanya usajili mkubwa wa wachezaji lakini hakuna. Viongozi waliishi kwa mazoea kuwa, ujeuri na kuamini kuwa tutapata kocha mzuri kuliko Miloud hivyo hawakuona ulazima wa kumbakisha.
Ismailia wana pesa mkuu
 
Back
Top Bottom