tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hahaaaabora walimu watembeze tu kichapo maana kama akili zenyewe ndo hizi hakuna jinsi
Alee tu, pengine ya kwakemwache alee mimba sio yake
Hahahaah na kweliAlee tu, pengine ya kwake u
Inalelewa na mwanaume mwingine.
Bila bila
Mkuu apa ndo panashangaza. Inakuwaje mtoto mwenye uwezo mdogo kias hicho awe chuon. Kufanya nn uko. Kama hawez hata ku justfy kuwa mimba inaweza kutunga ndan ya nusu saa na ikaanza kutoa reaction ya mtu kutapika ndan ya hiyo hiyo nusu saa. Au ukafika chuo kikuu hujawahi kusikia mimba inatungwaje.unaweza kukuta huyu mwanafunzi wa chuo halafu.ila mkuu unakumbuka kuna kipindi hapo nyuma watoto walikuwa wanafaulu la saba wasiojua kusoma wala kuandika? sijui siku hizi wamechange?
sasa mkuu hapa wanawake wanahusikaje? mleta mada ni wa kiume ujueMkuu apa ndo panashangaza. Inakuwaje mtoto mwenye uwezo mdogo kias hicho awe chuon. Kufanya nn uko. Kama hawez hata ku justfy kuwa mimba inaweza kutunga ndan ya nusu saa na ikaanza kutoa reaction ya mtu kutapika ndan ya hiyo hiyo nusu saa. Au ukafika chuo kikuu hujawahi kusikia mimba inatungwaje.
Mkuu kuna tatizo mahala. Kwenye malez au kwenye mimba. Hili sio tatizo la chuo au la shule. Ni shida sana. Baadae utakuja kuona huyo anakuwa doctor na ukienda ukasema unaumwa anashangaa. Unaumwa malaria anakuandikia dawa za typhod. Madaktari wanaongezeka lakini vifo navyo vinaongezeka. Unabaki kushangaa.
Wanawake mnapaswa kuangalia wapi mnakosea. Haiwezekani watoto wakawa na uwezo mdogo kias hiki katika dunia hii ya information.
Kwann unakuwa king'ang'anizi wa kufahamu ww zombi au ndio ww umebambikwa ww mambo hata mtoto wa darasa la sita anakujibu.Miss natafuta hujanisaidia kujua kitu hapo! Lengo langu ni kufaham kwa fact!!!
Kiufupi huyo mwenzio siyo muaminifu ana mtu nje.Jamani wataalamu wa mambo achen kuhitimisha bila majibu mujarabu!!!
huyu jamaa wala hatuelewi tunashangaa nini? anaona yupo sawa yaani achana nae tu ila ningekuwa ticha wake mngekuwa mnadiscuss video yake saa hivi
ahahaaa sijawai kupewa hela na mwanaume yoyote mentorhhahahahahahaha ashukuriwe maana hakukufanya mwalimu!!!
Hivi una kazi lakini vizinga kila siku, ukifikuzwa je? hahaha...
ahahaaa sijawai kupewa hela na mwanaume yoyote mentor
naapa kwanza mimi muoga sana kumpiga mtu mzinga unaanzaje kwanza kweli napenda ila sisubutu halafu wa kumpiga mizinga sina hataHa! ha! ha! nani anakuona ujue...muogope!!!
...halafu wa kumpiga mizinga sina hata...
unataka nikupige mizinga?futa hiyo part wasiione wengine.
Am kaming your way...
Wanaume wa mikoani utawajua tuu kwa kula ndaza [emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari zenu wadau!!
Kuna Binti mmoja!!mpenzi wa Rafiki yangu kipenzi!! Jana waligegedana saana cha ajabu ambacho jamaa alichonieleza ni kwamba baada ya kama Nusu SAA Bi Dada akaanza kutapika na kichefu chefu cha kufa MTU et Binti anadai ana mimba ya jamaa hata lisaa halijaisha!!! Alivyonielezea nikaona isiwe taabu ngoja niingie jukwaa la wajuvi wa mambo waniongezee maarifa!! Inawezekana kweli? Hapo imekaaje Wadau!! Naombeni wajuvi na wajuzi juu ya hili mtusaidie!!!
Ahsanten!!
Ile mizinga ya kuazimisha uhuru kumbe nayo yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unataka nikupige mizinga?
Habari zenu wadau!!
Kuna Binti mmoja!!mpenzi wa Rafiki yangu kipenzi!! Jana waligegedana saana cha ajabu ambacho jamaa alichonieleza ni kwamba baada ya kama Nusu SAA Bi Dada akaanza kutapika na kichefu chefu cha kufa MTU et Binti anadai ana mimba ya jamaa hata lisaa halijaisha!!! Alivyonielezea nikaona isiwe taabu ngoja niingie jukwaa la wajuvi wa mambo waniongezee maarifa!! Inawezekana kweli? Hapo imekaaje Wadau!! Naombeni wajuvi na wajuzi juu ya hili mtusaidie!!!
Ahsanten!!