Mimba ya dakika 30

Mimba ya dakika 30

Huyo jamaa anambegu zenye hamira yani bao moja mtu kaumuka muda huohuo.***** huyo dem zaidi ya wale walimu wa mbeya day
 
unaweza kukuta huyu mwanafunzi wa chuo halafu.ila mkuu unakumbuka kuna kipindi hapo nyuma watoto walikuwa wanafaulu la saba wasiojua kusoma wala kuandika? sijui siku hizi wamechange?
Mkuu apa ndo panashangaza. Inakuwaje mtoto mwenye uwezo mdogo kias hicho awe chuon. Kufanya nn uko. Kama hawez hata ku justfy kuwa mimba inaweza kutunga ndan ya nusu saa na ikaanza kutoa reaction ya mtu kutapika ndan ya hiyo hiyo nusu saa. Au ukafika chuo kikuu hujawahi kusikia mimba inatungwaje.

Mkuu kuna tatizo mahala. Kwenye malez au kwenye mimba. Hili sio tatizo la chuo au la shule. Ni shida sana. Baadae utakuja kuona huyo anakuwa doctor na ukienda ukasema unaumwa anashangaa. Unaumwa malaria anakuandikia dawa za typhod. Madaktari wanaongezeka lakini vifo navyo vinaongezeka. Unabaki kushangaa.

Wanawake mnapaswa kuangalia wapi mnakosea. Haiwezekani watoto wakawa na uwezo mdogo kias hiki katika dunia hii ya information.
 
sasa mkuu hapa wanawake wanahusikaje? mleta mada ni wa kiume ujue
 
Yaaan hapo Wanawake mnahusikaje kweny malez ya watt wenye uelewa Wa hali ya chin kias hcho???, cha kuambiwa mimba baaada ya nusu SAA kudate bad tyr ,mimba na reaction ya kichefchef,
Kama sio kuthibitishiwa kwamba kuna dune lingine ambalo limepiga had mimba
 
Dah me ilishanitokea ila ilikuwa ndani yawiki moja nikaambiwa nimempa mimba ilibidi niikubali2
 
Miss natafuta hujanisaidia kujua kitu hapo! Lengo langu ni kufaham kwa fact!!!
Kwann unakuwa king'ang'anizi wa kufahamu ww zombi au ndio ww umebambikwa ww mambo hata mtoto wa darasa la sita anakujibu.
 
Sperm Chafu na protean zao haziendani
 
Jamani wataalamu wa mambo achen kuhitimisha bila majibu mujarabu!!!
Kiufupi huyo mwenzio siyo muaminifu ana mtu nje.
Ni vigumu sana mimba kuingia siku hiyo hiyo na dalili zikaonekana hata km ukienda kupima vipimo haviwezi kuonesha.
Ni sawa na ww utembee na mtu mwenye ukimwi halafu siku hiyo hiyo uende ukapime. Huwezi kupata jibu km umeathirika hata km uende kwa dr. Bingwa gani hawezi kukupa jibu zaid ya kukuambia uje baada ya muda fulani.
Dalili za mimba huanza kuoneka wiki 3 baada ya kushika ujauzito, lkn kwa siku hiyo hiyo.
Mkuu hapo umeuziwa mbuzi kwenye gunia. Hiyo mimba siyo yako 100% km utaamua kulea basi unalea mimba ya mwanaume mwenzako
 
huyu jamaa wala hatuelewi tunashangaa nini? anaona yupo sawa yaani achana nae tu ila ningekuwa ticha wake mngekuwa mnadiscuss video yake saa hivi

hhahahahahahaha ashukuriwe maana hakukufanya mwalimu!!!

Hivi una kazi lakini vizinga kila siku, ukifikuzwa je? hahaha...
 
Habari zenu wadau!!

Kuna Binti mmoja!!mpenzi wa Rafiki yangu kipenzi!! Jana waligegedana saana cha ajabu ambacho jamaa alichonieleza ni kwamba baada ya kama Nusu SAA Bi Dada akaanza kutapika na kichefu chefu cha kufa MTU et Binti anadai ana mimba ya jamaa hata lisaa halijaisha!!! Alivyonielezea nikaona isiwe taabu ngoja niingie jukwaa la wajuvi wa mambo waniongezee maarifa!! Inawezekana kweli? Hapo imekaaje Wadau!! Naombeni wajuvi na wajuzi juu ya hili mtusaidie!!!
Ahsanten!!
Wanaume wa mikoani utawajua tuu kwa kula ndaza [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Habari zenu wadau!!

Kuna Binti mmoja!!mpenzi wa Rafiki yangu kipenzi!! Jana waligegedana saana cha ajabu ambacho jamaa alichonieleza ni kwamba baada ya kama Nusu SAA Bi Dada akaanza kutapika na kichefu chefu cha kufa MTU et Binti anadai ana mimba ya jamaa hata lisaa halijaisha!!! Alivyonielezea nikaona isiwe taabu ngoja niingie jukwaa la wajuvi wa mambo waniongezee maarifa!! Inawezekana kweli? Hapo imekaaje Wadau!! Naombeni wajuvi na wajuzi juu ya hili mtusaidie!!!
Ahsanten!!

Hivi waswahili mtaacha lini kufanya ngono zembe
Yaani kavu kavu tu na kila unayezini naye
 
Back
Top Bottom