Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye afya ya mtu kuna muongozo?Huo ni muongozo gani unasema hivo
Mkuu..ni Nan aliekwambia hvyo?
Hata miezi 6 anaweza kushika mimba, ila anakua chini ya uangalizi wa karibu sana wa Daktari
Msitishe watu
Wamama wa hivyo wanataka makofi, wakijifungua wanapewa miaka mitatu wao wanajiachia hata mwaka haujaisha.
Anacho kitafuta atakipata kitaalam kila.mimba ina tabia yake! Nakwambia hivi kuna siku ma dr wataanza kumkimbia maana ni risk sana.
Kuna wifi yangu mtoto wa kwanza alitoka kwa kisu! Akapewa miaka 3 ndani ya mwaka akapata mimba! Tulivyofika hospital dr wake akamkataa kuwa hawezi kimuhudumia kidonda cha kwanza kilikuwa bado kibichi.
All in all ilikuwa private alipata huduma ila kwa mbinde sana na nusu afe operation ilileta shida sana dr akamwambia akipata mimba kabla ya miaka mi 5 asirudi hapo.
Aisee! Kihualisia wamama wanafanya uzembe sana kwenye suala la kufata ushauri wa kidaktari, vp uyo wifi yalo alikuwa hatumii uzaz wa mpango mpaka ikapelekea kupata ujauzito mwingine?Wamama wa hivyo wanataka makofi, wakijifungua wanapewa miaka mitatu wao wanajiachia hata mwaka haujaisha.
Anacho kitafuta atakipata kitaalam kila.mimba ina tabia yake! Nakwambia hivi kuna siku ma dr wataanza kumkimbia maana ni risk sana.
Kuna wifi yangu mtoto wa kwanza alitoka kwa kisu! Akapewa miaka 3 ndani ya mwaka akapata mimba! Tulivyofika hospital dr wake akamkataa kuwa hawezi kimuhudumia kidonda cha kwanza kilikuwa bado kibichi.
All in all ilikuwa private alipata huduma ila kwa mbinde sana na nusu afe operation ilileta shida sana dr akamwambia akipata mimba kabla ya miaka mi 5 asirudi hapo.
Wifi yangu mwingine alifanyiwa operation, sasa hivi ni miaka 2.6 ati anataka kuzaa nimempigia dr akaniambia asubiri amalize mitatu kabisa.
Sijuhi kwa nini watu hawafati ushauri wa dr? Ati bahati mbaya? Huu ni ujinga mkifanya bila kinga mnategemea nini?
Mkipata matatizo lawama kwa dr. Bure kabisa.
Mimi sijui niliona mtumbo juu nikashangaaAisee! Kihualisia wamama wanafanya uzembe sana kwenye suala la kufata ushauri wa kidaktari, vp uyo wifi yalo alikuwa hatumii uzaz wa mpango mpaka ikapelekea kupata ujauzito mwingine?
Sijaleta story za kahawa bali nimeongelea mambo mawili halisi kabisa, kisha nikatoa tahadhari kwa wote;Mkuu, nadhan ni kuwakosea watu wa taaluma hiyo! Hakuna chuo kinachomfundisha hvyo Daktari. Tutofautishe tabia ya mtu mmoja mmoja na fani yake
By the way, kama mama atajifungua kwa upasuaji, basi mimba zote zinazofuatia atajifungua kwa upasuaji. Kuna kitu inakutwa, trial of labor after cesarean section/vaginal delivery after cesarean section, ikiwa na maana kwamba mama ajaribu kujifungua kawaida baada ya kujifungua kwa upasuaji lakini imeonekana kwa wamama wengi, uterus huachia ule mshono wa kwanza na hivyo kuhatarisha maisha ya mama na mtoto . Na hvyo, njia Bora huwa ni kujifungua kwa upasuaji tu hata watoto wanaofuata
Ni vizuri ukawa unapata ushauri au majibu ya kitaalamu kuliko kukaa kusikiliza habari za kwenye vijiwe vya kahawa
Miwili ila huyo mmoja ni 1 nanusuDuh! Alikuwa anapishanisha miaka mingapi mingapi??
We jamaa unatumia busara kwenye afya na reference zipo au nyie ndo madaktar wa googleKwenye afya ya mtu kuna muongozo?
Ni bora zaidi kumuona daktar mapema ili kuhakikisha usalama wa mama na mtotoIvyo ni bora mtu azae kuliko kutoa mimba bila shaka
Nipo kwenye field hyo mkuuSijaleta story za kahawa bali nimeongelea mambo mawili halisi kabisa, kisha nikatoa tahadhari kwa wote;
- Kumetokea mtindomaisha wa baadhi ya akinamama kupendelea kisu zaidi ya kujifungua kwa kawaida(hata kama hana changamto yoyote)...nina mifano hai ya dada watatu ninajuana na.
- Fani ya udaktari kuvamiwa na wasaka maokoto bila kujali maudhui ya kazi.
Baadhi ya madaktari haswa wa kitengo cha upasuaji, huwa wanashadadia sana upsuaji na huwa wanawafanyia kwenye hosipitali binafsi kwa malipo.
Nilichokiandika sijabahatisha.
Hivi hiyo miongozo mnaitoa wap?Wamama wa hivyo wanataka makofi, wakijifungua wanapewa miaka mitatu wao wanajiachia hata mwaka haujaisha.
Anacho kitafuta atakipata kitaalam kila.mimba ina tabia yake! Nakwambia hivi kuna siku ma dr wataanza kumkimbia maana ni risk sana.
Kuna wifi yangu mtoto wa kwanza alitoka kwa kisu! Akapewa miaka 3 ndani ya mwaka akapata mimba! Tulivyofika hospital dr wake akamkataa kuwa hawezi kimuhudumia kidonda cha kwanza kilikuwa bado kibichi.
All in all ilikuwa private alipata huduma ila kwa mbinde sana na nusu afe operation ilileta shida sana dr akamwambia akipata mimba kabla ya miaka mi 5 asirudi hapo.
Wifi yangu mwingine alifanyiwa operation, sasa hivi ni miaka 2.6 ati anataka kuzaa nimempigia dr akaniambia asubiri amalize mitatu kabisa.
Sijuhi kwa nini watu hawafati ushauri wa dr? Ati bahati mbaya? Huu ni ujinga mkifanya bila kinga mnategemea nini?
Mkipata matatizo lawama kwa dr. Bure kabisa.
Maana kama ni mshono, mshono unapona ndani ya miezi 3 tuHivi hiyo miongozo mnaitoa wap?
Hakuna sehemu inasema mama akae miaka 3 ndo abebe ujauzito
Maana halisi ya kuambiwa hvyo ni
1. Kuruhusu mama amnyonyeshe mtoto vizuri. Kumbuka, mama anatakiwa amnyonyeshe mtoto kwa miaka 2
2. Kuruhusu mama kurudia kwenye Hali yake ya zamani (kumbuka, kipindi Cha mimba, Kuna mabadiliko hutokea kwenye mwili wa mama, na huchukua Hadi miaka miwili kurudia kwenye Hali ya zaman)
3. Kupunguza changamoto za mimba kama vle upungufu wa damu (anemia) na folic acid.
Mwanamke akijifungua kwa op wanapewa semina ya mda gani wabebe tena ujauzito.. kulingana na daktari anakushauri miaka mi 3...We jamaa unatumia busara kwenye afya na reference zipo au nyie ndo madaktar wa google
DuhMwanamke akijifungua kwa op wanapewa semina ya mda gani wabebe tena ujauzito.. kulingana na daktari anakushauri miaka mi 3...
Na ndugu yangu alisha wah kupata case kama hii na siyo mmoja dakt yoyote muulize...