Mimba ya nne kujifungua kwa njia ya kisu, nini madhara au athari kwa mama?

Wamama wa hivyo wanataka makofi, wakijifungua wanapewa miaka mitatu wao wanajiachia hata mwaka haujaisha.

Anacho kitafuta atakipata kitaalam kila.mimba ina tabia yake! Nakwambia hivi kuna siku ma dr wataanza kumkimbia maana ni risk sana.

Kuna wifi yangu mtoto wa kwanza alitoka kwa kisu! Akapewa miaka 3 ndani ya mwaka akapata mimba! Tulivyofika hospital dr wake akamkataa kuwa hawezi kimuhudumia kidonda cha kwanza kilikuwa bado kibichi.

All in all ilikuwa private alipata huduma ila kwa mbinde sana na nusu afe operation ilileta shida sana dr akamwambia akipata mimba kabla ya miaka mi 5 asirudi hapo.

Wifi yangu mwingine alifanyiwa operation, sasa hivi ni miaka 2.6 ati anataka kuzaa nimempigia dr akaniambia asubiri amalize mitatu kabisa.
Sijuhi kwa nini watu hawafati ushauri wa dr? Ati bahati mbaya? Huu ni ujinga mkifanya bila kinga mnategemea nini?

Mkipata matatizo lawama kwa dr. Bure kabisa.
 
kuna wanaume nakatili duh
Mkuu..ni Nan aliekwambia hvyo?
Hata miezi 6 anaweza kushika mimba, ila anakua chini ya uangalizi wa karibu sana wa Daktari
Msitishe watu
Wamama wa hivyo wanataka makofi, wakijifungua wanapewa miaka mitatu wao wanajiachia hata mwaka haujaisha.

Anacho kitafuta atakipata kitaalam kila.mimba ina tabia yake! Nakwambia hivi kuna siku ma dr wataanza kumkimbia maana ni risk sana.

Kuna wifi yangu mtoto wa kwanza alitoka kwa kisu! Akapewa miaka 3 ndani ya mwaka akapata mimba! Tulivyofika hospital dr wake akamkataa kuwa hawezi kimuhudumia kidonda cha kwanza kilikuwa bado kibichi.

All in all ilikuwa private alipata huduma ila kwa mbinde sana na nusu afe operation ilileta shida sana dr akamwambia akipata mimba kabla ya miaka mi 5 asirudi hapo.
 
Wamama wa hivyo wanataka makofi, wakijifungua wanapewa miaka mitatu wao wanajiachia hata mwaka haujaisha.

Anacho kitafuta atakipata kitaalam kila.mimba ina tabia yake! Nakwambia hivi kuna siku ma dr wataanza kumkimbia maana ni risk sana.

Kuna wifi yangu mtoto wa kwanza alitoka kwa kisu! Akapewa miaka 3 ndani ya mwaka akapata mimba! Tulivyofika hospital dr wake akamkataa kuwa hawezi kimuhudumia kidonda cha kwanza kilikuwa bado kibichi.

All in all ilikuwa private alipata huduma ila kwa mbinde sana na nusu afe operation ilileta shida sana dr akamwambia akipata mimba kabla ya miaka mi 5 asirudi hapo.

Wifi yangu mwingine alifanyiwa operation, sasa hivi ni miaka 2.6 ati anataka kuzaa nimempigia dr akaniambia asubiri amalize mitatu kabisa.
Sijuhi kwa nini watu hawafati ushauri wa dr? Ati bahati mbaya? Huu ni ujinga mkifanya bila kinga mnategemea nini?

Mkipata matatizo lawama kwa dr. Bure kabisa.
Aisee! Kihualisia wamama wanafanya uzembe sana kwenye suala la kufata ushauri wa kidaktari, vp uyo wifi yalo alikuwa hatumii uzaz wa mpango mpaka ikapelekea kupata ujauzito mwingine?
 
Mimi sijui niliona mtumbo juu nikashangaa
 
Mkuu, nadhan ni kuwakosea watu wa taaluma hiyo! Hakuna chuo kinachomfundisha hvyo Daktari. Tutofautishe tabia ya mtu mmoja mmoja na fani yake
By the way, kama mama atajifungua kwa upasuaji, basi mimba zote zinazofuatia atajifungua kwa upasuaji. Kuna kitu inakutwa, trial of labor after cesarean section/vaginal delivery after cesarean section, ikiwa na maana kwamba mama ajaribu kujifungua kawaida baada ya kujifungua kwa upasuaji lakini imeonekana kwa wamama wengi, uterus huachia ule mshono wa kwanza na hivyo kuhatarisha maisha ya mama na mtoto . Na hvyo, njia Bora huwa ni kujifungua kwa upasuaji tu hata watoto wanaofuata
Ni vizuri ukawa unapata ushauri au majibu ya kitaalamu kuliko kukaa kusikiliza habari za kwenye vijiwe vya kahawa
Sijaleta story za kahawa bali nimeongelea mambo mawili halisi kabisa, kisha nikatoa tahadhari kwa wote;

- Kumetokea mtindomaisha wa baadhi ya akinamama kupendelea kisu zaidi ya kujifungua kwa kawaida(hata kama hana changamto yoyote)...nina mifano hai ya dada watatu ninajuana na.

- Fani ya udaktari kuvamiwa na wasaka maokoto bila kujali maudhui ya kazi.
Baadhi ya madaktari haswa wa kitengo cha upasuaji, huwa wanashadadia sana upsuaji na huwa wanawafanyia kwenye hosipitali binafsi kwa malipo.

Nilichokiandika sijabahatisha.
 
Nipo kwenye field hyo mkuu
Hakuna operation inayofanyika bila kuwa na indications za kufanya. Last option huwa ni mother's preference
Lakini sikukatalii, wamama wengi siku hz wanapenda kujifungua kwa upasuaji kwa sababu ambazo wanazijua wenyewe
Ila hyo ya Huyo Daktari, ni yeye na sio kuwasemea wote...tusichafue taaluma ya watu kwa sababu ya tamaa ya mtu mmoja
 
Wamama wa hivyo wanataka makofi, wakijifungua wanapewa miaka mitatu wao wanajiachia hata mwaka haujaisha.

Anacho kitafuta atakipata kitaalam kila.mimba ina tabia yake! Nakwambia hivi kuna siku ma dr wataanza kumkimbia maana ni risk sana.

Kuna wifi yangu mtoto wa kwanza alitoka kwa kisu! Akapewa miaka 3 ndani ya mwaka akapata mimba! Tulivyofika hospital dr wake akamkataa kuwa hawezi kimuhudumia kidonda cha kwanza kilikuwa bado kibichi.

All in all ilikuwa private alipata huduma ila kwa mbinde sana na nusu afe operation ilileta shida sana dr akamwambia akipata mimba kabla ya miaka mi 5 asirudi hapo.

Wifi yangu mwingine alifanyiwa operation, sasa hivi ni miaka 2.6 ati anataka kuzaa nimempigia dr akaniambia asubiri amalize mitatu kabisa.
Sijuhi kwa nini watu hawafati ushauri wa dr? Ati bahati mbaya? Huu ni ujinga mkifanya bila kinga mnategemea nini?

Mkipata matatizo lawama kwa dr. Bure kabisa.
Hivi hiyo miongozo mnaitoa wap?
Hakuna sehemu inasema mama akae miaka 3 ndo abebe ujauzito
Maana halisi ya kuambiwa hvyo ni
1. Kuruhusu mama amnyonyeshe mtoto vizuri. Kumbuka, mama anatakiwa amnyonyeshe mtoto kwa miaka 2
2. Kuruhusu mama kurudia kwenye Hali yake ya zamani (kumbuka, kipindi Cha mimba, Kuna mabadiliko hutokea kwenye mwili wa mama, na huchukua Hadi miaka miwili kurudia kwenye Hali ya zaman)
3. Kupunguza changamoto za mimba kama vle upungufu wa damu (anemia) na folic acid.
 
Maana kama ni mshono, mshono unapona ndani ya miezi 3 tu
 
Mwanamke akijifungua kwa op wanapewa semina ya mda gani wabebe tena ujauzito.. kulingana na daktari anakushauri miaka mi 3...

Na ndugu yangu alisha wah kupata case kama hii na siyo mmoja dakt yoyote muulize...
Duh
We jamaa buana 😂
Juzi nilikutana na kesi ya mwanamke mmoja amebeba mimba nyingine miezi 6 baada ya upasuaji na hakuna complication yoyote aliyopata
Mimba ipo vzur tu, yule mtoto mwingine anaendelea vzur tu
Sema ndo hvyo, close monitoring ya Daktari ndo inahitajika zaidi
 
Back
Top Bottom