Mimba ya wife inanitesa sana, mpaka najuta

Yaani nikiwa namzughusha sipati picha anavyotamani anikamate animeze
Atatamani sana akumeze ila akishajifungua akili inarudi kama mwanzo inakuwa imetoka. Sasa kama unataka kuendeshwa kama bodaboda tuma hiyo nauli, au ushatuma?
 
Na ukute sasa mateso yote hayo wkt mimba sio yako. Kikubwa ni kupiga chini tu.
 
Yaani mimi ndio najua leo kuwa mwenye id hii ni mwanamume......

Akili yangu yote ilikuwa inaniambia kuwa huyu ni mwanamke tena mrembo kweli kweli.....

Samahani ndugu.....
 
Yaani mimi ndio najua leo kuwa mwenye id hii ni mwanamume......

Akili yangu yote ilikuwa inaniambia kuwa huyu ni mwanamke tena mrembo kweli kweli.....

Samahani ndugu.....
teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh
sio peke yako mkuu ata mimi nilikuwa najua nasmapesa ni mwanamke mrembo kumbe ni mwanaume aisee.
nasmapesa waambie mods warekebishe hiyo id yako
 
Jambo la kawaida sana hilo kuwa mvumilivu mambo yatakaa sawa.
 
Vumilia blaaaaza mambo ya muda mfupi na utafurahia saana akishajifungua
 
Piga chini hakuna uhusiano wa kisayans na vituko anavyofanya.....usipokee simu ....fanya yako achana naye huyo ....kwanza keshakongoroka
na alaaniwe yule amtusie mwanamke abebae binadamu tumbo miezi 9
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Iseee nimechekaaaaaa mpaka basi
 
Mhmh mbona mnanipa wasiwasi kwa ujasirilimali huu mtu anakwambia Rudi???? Itakuwaje jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…