Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
- Thread starter
- #61
Huyu itakua mvulana sio mwanaume msamehe tumungu niepushe na mwanaume wa aina hii loooh...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu itakua mvulana sio mwanaume msamehe tumungu niepushe na mwanaume wa aina hii loooh...!!
siku naona kama zimegandapole sana mkubwa,vumilia tu kaka hayo ni ya muda mfupi tu
kwani mkuu hizi ziko tofauti na za zamani?nifafanulie kidogoMimba za miaka hii ni mtihani.
Atatamani sana akumeze ila akishajifungua akili inarudi kama mwanzo inakuwa imetoka. Sasa kama unataka kuendeshwa kama bodaboda tuma hiyo nauli, au ushatuma?Yaani nikiwa namzughusha sipati picha anavyotamani anikamate animeze
Mimba za mwendokasi [emoji2] [emoji2]Mimba za miaka hii ni mtihani.
Na ukute sasa mateso yote hayo wkt mimba sio yako. Kikubwa ni kupiga chini tu.hahaaa kumbe tuko wengi, mkuu huko ndiko kunaitwa kulea mimba na hayo ndio matokeo ya ndoa, mimi nnakumbana nayo ila nshazoea na kuna muda muda na mmisi wife nikiwa kwa Job kwa hivyo vituko, ninayokutana nayo sasa
1. kuna siku utaambiwa ana hamu na nyama choma ukileta hali
2. kuna siku apika chakula yeye hali anakunywa uji
3. siku ukishinda nyumbani ndio balaa dakika mbili mbele kimenuka, kupishana ni sekunde tuu, na ukitaka kutoka kanuna, kuna saa unaambiwa mwanao acheza njoo umguse sasa nilivyo na bahati mbaya nikimgusa tu hachezi, hapo yataanza madongo, mtoto hakupendi, ole wako atoke na masikio kama yako ( mabaya )
4. unaweza ambiwa ana hamu ya mahindi ya kuchoma saa saba za usiku usishangae,
5. hulali, unaweza amshwa mara 8 usiku kumpeleka kukojoa,
6. vikicharuka mzungu wa nne anahusika
7. unaweza rudi ukakuta hamna msosi na ukaambiwa leo nna hamu ya chakula cha mama ntilie, na ukimletea anakula kweli..
8. chakula alichokipika yeye asema si kitamu.
9. kuna wakati anakuwa karibu hadi inaboa atashinda jirani na kwapa akunuseee weee asema harufu yako inamvutia na kweli hadi anapata usingizi hapohapo sasa ole wako umsogeze,
siku ingine baba ukirudi unakaguliwa mgegedeo kama haupo used.
akianza kuumwa nyonga sijui mtoto hiyo siku kachachamaa unaweza sema sasa hivi azaa ila ndo muda bado,
utaambiwa jina la mtoto atoa yeye wakati ni kumuomba mungu mtoto atoke salama na yeye ajifungue salama lakini mwenzie ana ka listi kake ka majina ashakaandaa zamani,
kuna wakati wanakuwa viceversa alichokuwa akipenda mwanzo ndicho akichukia, mfano mimi niliombwa niweke dish la Dstv, ila hadi hivi nnavyoandika hapa haangalii na matokeo ya ni seris za kikolea kwenda mbele na kisambuzi chenyewe katupia chini ya uvungu,
nyumba sasa hata ukikwangua vocha ukaisahau mezani utasemwa wewe kwa uchafu hadi utasikia hasira,, aagh kuna raha yake man, hasa ukiwa mbali nae unamkumbuka, japo ukirudi home dakika tano ni nyingi anazingua, ila ukizoea fresh tuu, na uzuri zaidi akusumbue kama hivi uwe huna mchepuko, ukiwa nao kipindi hichi ni kigumu sana kwake, atajua tuu, sababu nawe hutokubali utaona kama mateso ila kama huchepuki wallah kuna raha yake....kwa hiyo ndugu hiyo events ni nzuri na muombee ajifungue salama akiwa fresh utamkumbusha vituko vyake kipindi cha ujauzito, naamini ni mambo ya muda tuu hayo..kaka hapo bado hujaanza kilea, utanyooka wewe...ususahau kutuletea mrejesho na kipindi cha malezi, kila la kheri...
teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh tehYaani mimi ndio najua leo kuwa mwenye id hii ni mwanamume......
Akili yangu yote ilikuwa inaniambia kuwa huyu ni mwanamke tena mrembo kweli kweli.....
Samahani ndugu.....
kweli kaka inachosha ila hamna mbadala huyo ndo mke wako,bsdo kidgo tu yataishasiku naona kama zimeganda
kiukweli my mke alifikia hatua hta ya kuchana baadhi ya nguo zangu et hatak kuziona mmh lakin baada ya kujifungua na msamaha akaombaMimba za miaka hii ni mtihani.
na alaaniwe yule amtusie mwanamke abebae binadamu tumbo miezi 9Piga chini hakuna uhusiano wa kisayans na vituko anavyofanya.....usipokee simu ....fanya yako achana naye huyo ....kwanza keshakongoroka
ahahah kha!!!!!Mi alikuwa ananiamsha saa 8 usiku nimpeleke sheli akanuse Petrol, utafikiri anajifungua bodaboda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Iseee nimechekaaaaaa mpaka basihahaaa kumbe tuko wengi, mkuu huko ndiko kunaitwa kulea mimba na hayo ndio matokeo ya ndoa, mimi nnakumbana nayo ila nshazoea na kuna muda muda na mmisi wife nikiwa kwa Job kwa hivyo vituko, ninayokutana nayo sasa