Mimea hii inanikosesha (inaninyima) Raha kabisa

Nilijua nipo Peke yangu.

nipo ivyo tangu mtoto. kuanzia hizo moss plant na hivyo kwenye post no: 41 ...... naweza kushindwa Kula SEHEMU yenye hivyo ama nikiviona.
 
Me wadudu hata siwaogopi hao
 
Ngorongoro pale Makao kuna mimea flani hivi ya kuwasha.. ukigusa nayo tu yale majani kwisha habari yako. Yaani furaha yote inatoweka. Yaani kama umeunguzwa na moto. Huwa nikienda Ngorongoro nakuwa makini.
Hatari sana Dunia inavitu vya ajabu sana
 
Nilijua nipo Peke yangu.

nipo ivyo tangu mtoto. kuanzia hizo moss plant na hivyo kwenye post no: 41 ...... naweza kushindwa Kula SEHEMU yenye hivyo ama nikiviona.
Yeah, nafikiri tupo wengi wenye hii kitu
 
Pole
 
Nimegoggle nimekutana na mtu mwenye hisia kama zangu, aisee basi itakuwa hii kitu inawakuta watu wengi tu.
 
Haya ni magonjwa ya kisaikolojia ni mtu anajikuta yuko sijui hivyo wataalamu watujuze !! Yote kwa yote me sizipendi hizi hapa !! Kitu kinakua hakiumizi hata kuelezea ni ngumu ndo maana haya mambo kibongo bongo ni ngumu

Ulivyojisikia ndo nilivyojisikia 😂😂😂
 

Attachments

  • 82864b031800cf416e17b1137848547b.jpg
    144.5 KB · Views: 4
  • 3f687299085804a730ea4393447f16b9.jpg
    116.5 KB · Views: 4
  • 7f09a373bc315f6aefeadef6d040f2dd.jpg
    53.8 KB · Views: 4
  • 323c09e37dbcbb7f35b4158ac1a71656.jpg
    85.2 KB · Views: 4
Daah hata siwezi kuziangalia hizo picha kwakweli🤮🤮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…