Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
unaharufu kali mbaya. Ndo ilikuwa dawa ya homa aina zote kipindi hichoMmea ni majabu ya Mungu kwetu .
Mmea hapo kwenye picha :
🥬Kisukuma unaitwa Mjorwambogo.
🥬Kikamba unaitwa Ithaa.
🥬Kikikuyu unaitwa Mwino au mwinu.
🥬Kijaruo unaitwa Ovino au owinu.
🥬Kimeru unaitwa Kirao au Murao.
🥬Kitaita unaitwa Mbinu au Mshua.
🥬Kiiraq unaitwa Nkharerei.
🥬Kihehe huitwa Mulimuli.
🥬Kisambaa huitwa Mzangazi.
Kuhusu matibabu :
🥬 Huo mti hutibu magonjwa ya ini...
🥬Hutibu vidonda vya tumbo. Hutibu malaria, typhoid na ameba.
🥬Hutibu kisonono. Huondoa sumu zote mwilini na kupunguza mafuta.
🥬Mtidawa huu hushusha shinikizo la damu yaani presha ya kupanda.
🥬Hutibu chlamydia. Hutibu magonjwa ya mifupa. Magonjwa yote ya mfumo wa uzazi wa mwanamke hutibiwa na mti huu...
🥬Mti huu humwezesha mwanamke kushika ujauzito ikiwa hajakoma hedhi.Hii hufanyika kwa kuondoa uvimbe wowote kwenye mfumo wa uzazi, ini, bandama, figo, kusafisha kizazi, kurutubisha mayai na kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito
🥬 Mti huu hurudisha mzunguko wa hedhi na kuuweka uwe sawa ikiwemo kuondoa maumivu kipindi cha hedhi...
🥬Mti huu huondoa uvimbe wa aina yoyote ndani ya mirija ya uzazi, ovari, uterus au kizazi kwa muda wa wiki tatu tuu..
NAMNA YA KUTENGENEZA
🥬Chukua majani yake. Hakikisha huchanganyi na mbegu zake. Chukua majani tuu. Chukua mengi kadri uwezavyo. Yaanike mahali safi ndani, Yasambaze kabisa. Baada ya siku tatu kama mahali hapo pana joto la kutosha (hapo ndani na siyo nje kwenye jua) yatakauka.Saga ili kupata unga laini, Waweza kusaga hata kwa kufikicha tuu kwa mkono. Ni malaini na yanasagika kwa haraka mno ikiwa yamekauka vizuri. Waweza kusaga kwa kutumia brenda pia...
NAMNA YA KUTUMIA
🥬 Isipokuwa ugonjwa wa kisonono, tumia kijiko kidogo ndani ya maji ya moto nusu kikombe cha chai asubuhi na jioni kwa muda wa week mbili. Baada ya hapo, nenda ukapime hutaona kitu.
🫐Kumbuka: Mtidawa huu utakufanya uharishe kama mara tatu kila unapokunywa. Kadri tatizo linavyoendelea kuisha mwilini, kuharisha nako kunapungua na mwisho kupotea kabisa. WagonjwaView attachment 3225379
LIcha ya ayo yte lakin ndo dawa maridadi kabisaunaharufu kali mbaya. Ndo ilikuwa dawa ya homa aina zote kipindi hicho
Sahihi nakumbuka kipindi hicho ukila kitu kama umepita kwenye shamba la pamba walilo piga sumu kali basi majani yalikuwa yanachemshwa na unapewa kikombe kimoja utaharisha na sumu yote inatokaLIcha ya ayo yte lakin ndo dawa maridadi kabisa
LemonFAIDA ZA LIMAO /KUNYWA MAJI YA LIMAO , NI NYINGI SANA NARUDIA KWA FAIDA YA WAGENI JAPO SITAZISEMA ZOTE ...
Lemon juice + water
Juisi ya limao na maji
KILA ASUBUHI HAKIKISHA KABLA KUFANYA CHOCHOTE UNAKUNYWA KINYWAJI HIKI
Hapo kuna malimao mawili ndani ya glasi ya maji .
Hiki ni kinywaji sahihi kuanza nacho Kila siku
Ukijenga tabia ya kunywa juisi hii utaona maajabu makubwa sana kwenye afya yako.ndani tu ya siku 30 ...
1.Huimarisha kinga ya mwili Kwa kuwa lina vitamin C
2.Husafisha utumbo mpana, huzuia constipation-Dietary Fiber
3.Hutibu malaria, kipindupindu, ni Antibacteria
4.Huweka sawa pH ya damu-Limao hufanya damu iwe alkaline, Kuongeza Damu Mwilini ..
5.Husaidia mmeng'enyo wa chakula-Husaidia/huchochea kuzalishwa kwa nyongo
6.Huzuia magonjwa ya moyo na presha ya juu ya damu-pH balance calcium, magnesium na potassium
7.Hutibu homa na mafua
8.Huondoa sumu mwilini-alkaline blood/pH balance
9.Hutibu arthritis na Rheumatism-Husafisha damu na huondoa uric acid
10.Huondoa mikunjo kwenye ngozi
11.Huondoa maumivu ya kuumwa na nyuki
12.Huboresha afya ya macho
13.Huzuia kuvuja kwa damu ndani ya mwili au puani
14.Huondoa makovu kwenye ngozi
15.Kisukari(Type 1 diabetes) hasa kwa watoto kwa heri
16.Cancer ya utumbo mpana kwa heri
17.Cancer yoyote kwa heri kama utakuwa na tabia ya kunywa maji ya limao
18.Kipindupindu kwa heri kama una tabia ya kunywa maji ya limao kila asubuhi
19.Soko la dawa za malaria litashuka kama watu watakuwa wanatumia maji ya limao
20.Kwa watu wenye maumivu ya magoti huweza kupata nafuu kwa kunywa maji ya limao tu na kusahau dawa za hospitalini.
21.Kwa kina dada warembo kwa kutumia limao tu wataepukana na vipodozi vyenye sumu kama Oxybenzone,Avobenzone
Escamule , Octocryclene Zinazosababisha kansa ili kungarisha ngozi zao..
Yaani usiende mbali sana, chukulia cancer, kisukari na malaria pekee....
Kama watu watapenda kutumia maji ya limao mara kwa mara kwenye maView attachment 3225392isha yao ina maana soko la dawa za cancer, kisukari na
UjAnja mwingi mbele gizaMtakunywa hadi visivyofaa
KAbisa mkuu nimeweka vitu hadharani bila kuweka ma code Wala nnHuna baya mkuu