Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

Wewe ni mwanaume wa kuigwa,Mungu akujalie usibadile hata kidogo.Sikujua men like you exist.
 
Vipi akitoka job akapitia mishe zake za pembeni! Sio lazima awe na mcheps, anaweza kuwa na goli lake linamuingizia 10k anapitia huko kuangalia maendeleo ya hustles zake.
Si mbaya
 
Najitahid kiukwel as father but kwakwel haya masaa 24 kwa siku nimekuja kugundua hayanitoshi.
I real wish siku ingekua japo na masaa 36.
 
Ishiwa sasa.
Utaona kila rangi.
Hata yale ambayo yanaendelea sasa hic lakin huyaoni kwa upofu wa mapemzi, utakuja tu kuyajua vizuri.

Usijipe sana umuhim kwa mwanamke namna hiyo, utakuja kulia kama mbwa siku ikifika (maana hiyo ipo for sure)

NB
Sijakutisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…