Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

Nikiamka saa 12 cha kwanza nachukua nguo za watoto( wawili wanafunzi) na zangu na kuzinyoosha.
Kupasi kabla ya kulala utafurahia muda zaidi asubuhi.. au nunua uniform zaidi ya moja.. pasi weekend zote.
Wakamimaliza homework natafuta kinywaji changu pendwa na kuanza kusip nikisubr msosi wa usiku..
Kucheza nao au kupiga stories saa ngapi?
 
Sometimes huyu mkubwa huwa anajiogesha, sometimes pia huwa nawaambia wajipake mafuta but under supervision coz si unajua tena kesi za watoto na mafuta , usipokuwa makini wanaweza jipaka kopo zima. Kuhusu kunyoosha nguo, bado sijaweza kuwa na imani ya kuwaacha wanyooshe coz naona ni hatari kwao. Kupiga kiwi viatu huyu mkubwa huwa anafanya vyake na vya mdogo wake, ameshakuwa expert.
 
Maisha yako hayana tofauti na wale mababa wenzetu walioko ughaibuni...
Big up sana sana...
 
Hongera,.. Ratiba yako nzuri sana, nimeipenda. Maintain
 
Safi sana mkuu,hicho unachofanya unawaandaa waje pia kuwa wazazi bora sana badae,maana wanasema mtoto anajifunza zaidi kwa kile anachoona unafanya kuliko kile unachomwambia.
 
Bila shaka we ni mwalimu
 
Safi sana. Nimejifunza jambo hapo.
 
Unakipawa kikubwa sana cha kumsoma mtu
 
Mi kwanza kuamka usiku usiku sipendi kwahiyo sifai kuwa mfano wa kuigwa especially na watu walioajiriwa na wanatakiwa kureport mapema

Pia maswala ambayo yanawezekana kufanyika usiku mfano pasi huwa nayafanya usiku Ili asubuhi nisiwe na mambo mengi.
Ooh.hii ya kupasi usiku nzuri, sema kunakujisahau
 
Hiyo ratiba uzeeni itakuja kutesa, watoto nao watakuwa busy na mama yao, wewe watakuacha peke yako coz huna chemistry nao. Hiyo mifugo muda huo hutakuwa na uwezo wa kuihudumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…