Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

Hatuombei mabaya. Hatutashangaa mama watoto wako akikuvuruga pamoja na kujituma kote!
Kesi ziko bwelele. Tanakuombea yasifike huko!
Wanawake viumbe wa ajabu sana sana...
 
Unaishi Kongo?
 
Daah nyie watu mnaishije bila kuwa na ratiba ya mazoezi?
 
Safi sana, kuna jinga moja humu linajiita deepond,
Lenyewe likitoka kazini lazima lipite kwa mchepuko mamaj likapewe tako liache elfu 10.
Nafkiri watoto hata hawajui baba yao nani
@DeepPond
 
hufanyi mazoezi ilo Ndambi utashindwa kuperfom vizuri
 
Kwenye kunyoosha nguo jitahidi sn ulifanye hili jambo jioni/usiku kutokana na changamoto za umeme pia ukiweza kua na pea nyingi za uniform zao.
 
Kwenye kunyoosha nguo jitahidi sn ulifanye hili jambo jioni/usiku kutokana na changamoto za umeme pia ukiweza kua na pea nyingi za uniform zao.
Shukrani kwa ushauri. Pair zipo kadhaa sema zinapofuliwa huwa hazinyooshwi mpaka anapovaa. Ntaboresha hicho kipengele
 
Shukrani kwa ushauri. Pair zipo kadhaa sema zinapofuliwa huwa hazinyooshwi mpaka anapovaa. Ntaboresha hicho kipengele
Ni vizuri kuboresha hilo,unapiga pasi nguo zao zote za Shule mara moja hasa weekend,hapo unakua umepunguza kazi ya kupiga Pasi kila siku asubuhi,

Uko vizuri kwenye Parenting Mkuu.
 
Uko vizuri mkuu hongera sana, wewe ni baba Bora ambao mnapigwa vita sana katika jamii ya kiafrika.

Naomba chagua siku moja ya kurudi walau tatu au saa mbili usiku nyumbani, siku hii iwe maalumu kwa kupita kijiweni, kijiwe kilicho karibu na mtaani kwako wanakoshinda vijana na wazee wa hovyo. Just to keep up na mambo ya mtaani. Au kupita baa na rafiki yako mwanaume, mkaongee ya kiume. It's healthy!
 
Naona umeamua kumpoteza Baba bora sasa,huko kijiweni anaweza akanogewa na akabadilika,kijiweni ni majungu tu wala hakuna la maana,

Acha niendelee kukomaa na box na hili baridi.

😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…