Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

EEEeeeenHEEEee.
Inanibidi nicheke tu. Nakumbuka mada zako nyingi huko nyuma ulikuwa huambiwi kitu juu ya "mama anaupiga mwingi".
Hapana, sikumbushi ili kukusuta kwa lolote, bali sote sasa hivi ni mashuhuda wa hali halisi iivyo..

Hofu yangu kubwa ni huyu kuendelea miaka mingine zaidi ya 2025!
Itabidi uhame nchi au ujitoe akili maana maRais unaowataka wewe siyo anaowaleta Mungu. Samia mpaka 2030
 
Aiseeee una kumbukumbu kali sana!🙆 😆😆🤣. Nilikuja kugundua baadae kumbe nashabikia Kilaza mmoja asiye na uwezo.
 
Kuchapisha hela kwa nchi maskini hiyo ni last resort (too desperate) maana yake umehelemewa na hakuna wa kukusaidia.

Madhara yake ni currency devaluation, sasa kama umekopa kwa dollar expect rise deni lako kukuwa through inflation and all sorts of downtown spiral za kiuchumi.

Usishangae wakishadadia PPP huko serikalini hakuna hela ya kufanya miradi, na kwenye most likely wanatengeneza matatizo mengine. Eventually tutafikia hatua tu ya ‘chasing the dragon’.

Uwezi kuchapisha hela currency ikawa stable, hata huko US; lazima kuwe na inflation (kwa sababu luluki). Kipindi cha Magufuli exchange rate ilikuwa stable na alikuwa anakopesheka mpaka na private banks without intervention ya IMF/WB.

Vinginevyo uwezi kukopeshwa na private banks or gain access to money market nchi ya third bila ya kelele za donors kama uchumi wako sio stable na cashflow yako sio nzuri.

Uongozi wa huyu mama anapoipeleka nchi liko wazi, mambo yanayotokea sasa wengine tuliyasema miezi mitatu au minne baada ya kuapishwa.

Sasa watu wenye akili zao timamu huko serikalini, waendelee kusikiliza huu utoto wa Magufuli aliharibu uchumi na sasa hivi wanarekebisha.

Siasa ni science na uchumi ni science; ni rahisi kutabili nchi inapoelekea kwa uongozi uliopo; the worst is yet to come.
Well said
 
Itabidi uhame nchi au ujitoe akili maana maRais unaowataka wewe siyo anaowaleta Mungu. Samia mpaka 2030
"Kuhama nchi", ndiyo mawazo yenu? Ni lini mlichukuwa nchi hii kuwa mali yenu!
Samia kaletwa na "Mungu", au shetani?
Shetani hatamwezesha kuvuka 2025. Taarifa ndiyo hiyo.
Akilazimisha kubaki, watu hawatahama nchi....; na hawatanyamaza wala kukubali nchi kugeuzwa kuwa ya kijingajinga kama inavyo kwenda sasa.
 
Wewe na wenzio ndiyo mashetani? Kura zenu siyo nyingi hata mkimpigia mnyemtaka
 
Enzi zile ukisikia rais atahutubia kila mtu anakimbilia tv na redio kusikia Tamko la nchi,siku hizi wala hakuna mwenye hata kutaka kujua yupo wapi
 
Wewe na wenzio ndiyo mashetani? Kura zenu siyo nyingi hata mkimpigia mnyemtaka
Umetuhesabu lini?
Kama kisomo ulicho niaminisha unacho kuhusu eneo hilo ni cha kweli, utaandika vipi hapa kuhusu hizo kura? Akili zinapo gota kwa sababu tu ya unazi juu ya mtu, au undugu wa aina yoyote na mtu huyo ni ishara ya kuto komaa kwenye taaluma inayo kuhusu.
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Kutomsikiliza kwako hakupunguzii idadi ya chawa alionao, labda uanzishe kundi la ukarimu kama la Mafwele.
 
Umetuhesabu lini?
Kama kisomo ulicho niaminisha unacho kuhusu eneo hilo ni cha kweli, utaandika vipi hapa kuhusu hizo kura? Akili zinapo gota kwa sababu tu ya unazi juu ya mtu, au undugu wa aina yoyote na mtu huyo ni ishara ya kuto komaa kwenye taaluma inayo kuhusu.
Njoo uchukue vyeti vyangu ukavichome
 
Back
Top Bottom