RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Mzee mmoja wa chama anasema ,Eti mabeyo alimwambia amalizie muhula wa tano halafu aachie chama kifanye maamuzi ya mwingine ashike!Sasa huoni anataka tena 2025? Angekuwa anajijua angemaliza hii de facto presidency time awaachie wenye uwezo
Mama akapiga U-turn !!
Sasa ngoja nione Nini kitajiri coz mama ameanza kumshuku Hadi katibu mkuu wa chama chake!