TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
pole sana. utaelewa baadaye kosa lako, kwa sababu ya kutojua haki yako kama raia.Mimi binafsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana. utaelewa baadaye kosa lako, kwa sababu ya kutojua haki yako kama raia.Mimi binafsi
Ndio shida yetu, tunadhani tunaweza geuza mkaa kuwa almasi.
Huyo mama anakaka kwenye baraza la mawaziri (probably, yeye ndio mwenye uwezo mdogo) kwenye mkutano. Ana washauri wataalamu ambao wana kazi ya coaching,
Ili kuona uwezo wake ni kumuacha a free-flow; sijawahi kukutana nae. Lakini uwezo wake ni mdogo sana.
Ndio ukweli
Kiongozi yeyote huwa hazaliwi na kuwa kuwa kiongozi...
Mtu yeyote huwa hazaliwi na kuwa kwenye kada aliyopo akiwa ameshapevuka...
Sisi sote tunazaliwa, tunakuzwa na walio wakubwa wetu, wakati fulani nasi tunakuwa wakubwa na kubebeshwa ama kubeba majukumu...
Shida huanza katika msingi ambao ni makuzi na malezi, Waafrika tangu wakiwa wadogo wanakuwa wameandaliwa kushindwa kwa sababu katika hali ya utoto hakukiwa na makuzi ya kuja kuwa kinara wa kuyakabili maisha na changamoto zake...
Ili tuweze kufika salama tuendako, tupambane kwanza na UJINGA...
Mwandishi mmoja aliwahi kusema usipompenda Raisi wa nchi yako basi utaishi kama mkimbizi kwa miaka yake yote atakapokuwa madarakani, Bahati mbaya zaidi anaweza fauatia Raisi usiyempenda pia ukaongeza miaka ya ukimbizi ndani ya nchi yako ikawa around 20yrsMimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.
Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.
Hana uwezo hata chembe.
That says a lot ueledi wa civil services,
It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Mwaka wa 3 anatawala, nchi inakwenda, uchumi unakuwa, utulivu upo. Ni akili yako ndiyo ina shida..mimi na wewe tumepishana na kulingana ktk hoja nyingi, lakini ktk hoja yako hii nakubaliana na wewe 100%.
..Samia Suluhu ha-fit ktk nafasi ya Raisi wa Tanzania.
..Kiwango chake cha uelewa, wa nchi, dunia, uchumi, katiba,sheria, diplomasia, uchumi, siasa, demokrasia, historia,ni kidogo mno kuweza kuongoza Tanzania.
Mwaka wa 3 anatawala, nchi inakwenda, uchumi unakuwa, utulivu upo. Ni akili yako ndiyo ina shida
Samia is the best. Hangaika na maisha ya familia yako tu achana na nchi yetu iko mikono salama...Tanzania ingefanya vizuri zaidi kama tungekuwa na Raisi mwenye uwezo kuliko Samia Suluhu.
Acha hizo mkuu. Usimpangie kwenye hili jukwaa.Samia is the best. Hangaika na maisha ya familia yako tu achana na nchi yetu iko mikono salama.
Woman are too emotional that why we never insist them into the first placeMimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.
Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.
Hana uwezo hata chembe.
That says a lot ueledi wa civil services,
It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Mbona na wewe pia unanipangia? Au nyani haoni kundule?Acha hizo mkuu. Usimpangie kwenye hili jukwaa.
Endelea kusoma...Waanzilishi wake ni wengi. Maana kila genertion mtu huitoa kuok awamu fulani hadi nyingine. Hizi nyingine ni programu tu.internet yenyew imesambaa dunia kwa njia ya wire
Tupo pamoja mkuuSamia is the best. Hangaika na maisha ya familia yako tu achana na nchi yetu iko mikono salama.
Mkuu unaomba vitu ambavyo vipo kwenye google, punguza huyo ujeuri na utoto pia.Kwani ukiweka hapa kiambatanisho kuna shida gani?
Sio mjinga kuliko Samia lakini?
Umebadilisha mada?
Wapi nimesema elimu ndio kigezo cha kufanikiwa.
Halafu kufanikiwa /mafanikio ni suala subjective.
Mwingine ili kufanikiwa ni kuwa na gari nyumba, n.k
Mwingine mafanikio yake ni kuisaidia jamii kupitia elimu yake ya darasani, ujuzi n.k
Hivyo usibadili mada.
Bakhresa ni rais wa Taifa gani?
Hapa mada tunaongelea umuhimu wa elimu katika ngazi ya urais.
Kama siwezi kufika hizo takwimu nazipata wapi?
Nisaidie link maana ndio umesema "mama " amesambaza umeme nchi nzima.
Kwahiyo tufunge shule watu wasisome ndio hawatokuwa watumwa?
Kwahiyo mtu anaenda kusoma shule awe kichekesho baadae?
Mwisho nimeomba uniorodheshee miundombinu 10 ya kimkakati aliyoijenga "mama "kuwezesha Tanzania kufikima kote .
Hilo ni suala gumu kwako kuorodhesha na umekwishasema huyu ndio rais aliyefanikiwa kuliko watangulizi wake wote?
Kama hutonijibu sioni sababu ya kuendeleza mjadala na wewe maana itakuwa uwezo wako ni sawa na unayemtetea katika mada iliyopo mezani.
Hawa wajinga wanaendeshwa na chuki na ubaguzi tu, lakini Samia is the real dealMkuu unaomba vitu ambavyo vipo kwenye google, punguza huyo ujeuri na utoto pia.
Samia ni Rais keshaingia kwenye kumbukumbu za marais wa Tanzania. Wewe mwenye kujigamba una elimu kumzidi unatumia ID feki ya Jamiiforum!.
Daraja la kigongo busisi linamalizika muda huu ni kazi ya Samia.
SGR imebakiza kipande cha Dodoma/Mwanza ni kazi ya JPM/Samia.
Kigoma imekuwa karibu na pande za nchi zilizobakia, miundo mbinu ya barabara imeufungua mkoa huo.
TAZARA Inakwenda kufufuliwa upya ni kazi ya Rais wa China na Samia.
Bandari ya Dar inao wawekezaji wawili wakubwa, DPW na Adani wanafanya kazi kisasa na tija inaongezeka kila kukicha.
Tembelea mkoa wa Pwani utakutana na viwanda vingi vipya vipo kazini ni kazi ya Samia na Magufuli ya kuifungua nchi.
Yapo mengi mno yanafanyika tafuta nyuzi zenye kuhusiana na masuala ya nchi kufunguka zimo humu kundini.
Huyo huyo unayemsema kwamba hana elimu anaifungua Tanzania kwa mapana yake. Miradi mipya 1699 imeanzishwa katika kipindi cha awamu ya sita chini ya uongozi wake.
Wivu na roho mbaya vitaendelea kuitesa nafsi yako.
Maumivu ya moyo yanapodumu mwilini mwa mtu yanaishia kumletea matatizo ya presha na stroke.Hawa wajinga wanaendeshwa na chuki na ubaguzi tu, lakini Samia is the real deal
inabidi umuulize Kikwete ! Inasemekana yeye ndiye alitaka iwe hivyo ! Kwa sababu yeye ndiye aliyekuwa Rais kipindi hicho na ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wenu !!Katiba ni shida nakubali, lakini shida zaidi pia ni civil services.
Nchi inayojitambua haiwezi ongozwa na mtu kama Samia.
Ni vipi huyu mama, kaweza kupenya hadi kuwa makamu wa raisi; Samia uwezo wake ni mdogo mno (akili zake ni ndogo mno), huo ndio ukweli.
Raisi Samia, kafikaje kwenye radar ya ulinzi wa nchi kudhani anaweza kuwa makamu wa raisi.
This is not OK.
NJoo tusome woteEndelea kusoma...
Hakuna waanzilishi wengi wa internet