Mh!! Ndugu mleta mada naona kavurugwa kabisa - maana si kwa kutiririka huko.
Sema TISS mlioko humu - na wengine - mnajukumu kubwa la kufanya kuokoa taifa hili - TISS fanyeni mission ambayo vizazi vya miaka 200 mbele vitawakumbuka...Hiyo I kwenye TISS ni INTELLIGENCY...watu tuone kweli kuna vichwa kule otherwise ni disaster.Fanyeni hivi:
1.Pandikiza watu wafia nchi -CCM..achaneni na watu wenu ambao kwao CCM mbele - taifa linafuata
2.Ivunjeni CCM vipande viwili - vyenye nguvu visivyoweza kuelewana.Tupate vyama viwili heavy ambavyo vinanguvu sawa - connection sawa - ushawishi sawa..LKN hakikisheni havi- helewani kamwe..
Hii CCM ya sasa hivi ndo shida nchi hii - kujuana - Monarchy - wachache ndo wanakula hii nchi tena wako untouchable.
3.Mkivunja CCM tukapata A & B: Hapo hapo amsheni mambo ya katiba mpya.Hivi vyama vyote vikubali katiba mpya - them.l mchakato wa katiba urudi...Hakikisheni wananchi, vyama, vyote, mashirika ya kiraia yanashirikishwa - Tupate katiba itskayotatua changamoto zote tulizoziona kwa miaka hii zaidi ya 60 tumepata..ikiwezekana wekeni wasomi wayahighlight kabisa mapema.
Mkiweza kufanya hivyo bila vurugu, bila hata watu kuelewa how changes zimetokea - huko mambo yakiendelea kama kawaida - kwa amani - YOU WILL GO DOWN IN HISTORY KAMA moja ya Taasisi reputable zenye vijana wenye akili - Vijana watawapenda - watu wengi wenye akili above normal human beings watapenda kufanyakazi na nyinyi..
Subirini miaka 5 ya Mama ipite - 2030..najua CCM patachimbika sana - hapo ndo penyewe.
Chance nyingine ilikuwa vuguvugu la Lowassa 2015 - kipindi kile CCM wanamnanga mwenyekiti wao - hapohapo...CCM ilikuwa imepasuka pale - mngeendeleza ule mpasuko to the maximum yaani watu wavurugane hatari..
Bila hivyo watu wataendelea kulalamika na kuumia sana kama mleta mada.
CCM ndo shida hii nchi - waondoeni hao - gawanyisheni watu wake tupate vyama vya kisasa