Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
tuwe makini namsemo wao wa ubaya ubwelaYanga itaambulia point 2 na kushika mkia msimu huu. Tumepuyanga sana kushabikia Simba kumaliza nafasi ya tatu. Laiti Simba angekuwa champions League ingeipa sana hamasa Yanga kufanya vizuri.
Sayansi hii ya Mpira kina Ali Kamwe hawaijui.Simba angekuwa champions League ingeipa sana hamasa Yanga kufanya vizuri.
Kikoba😂😂Mkiishia makundi mara tatu mnabatizwa jina la wavikundi.
Sasa mbona wewe ni Kolo kabisa nani kakwambia kupoteza game mbili ndio imeisha.Simba ilitinga robo fainali klabu bingwa Africa mara nyingi mfululizo, hadi kuipandisha ligi ya Tanzania na kwenye chati na kuwa moja ya ligi bora Africa, Yanga tukadhani ni kitu kirahisi tukabeza na kuanza kuwaita Mwakarobo
Leo hii naona ugumu wa kazi waliyokuwa wanaifanya Simba, Yanga katika ubora wa juu kabisa tangia kuanzishwa kwake lakini tunaomba mungu na sisi angalau tutinge robo fainali
Hahaha. Hili jina litawapendeza mno.Kikoba😂😂
ShadeeyaSimba ilitinga robo fainali klabu bingwa Africa mara nyingi mfululizo, hadi kuipandisha ligi ya Tanzania na kwenye chati na kuwa moja ya ligi bora Africa, Yanga tukadhani ni kitu kirahisi tukabeza na kuanza kuwaita Mwakarobo
Leo hii naona ugumu wa kazi waliyokuwa wanaifanya Simba, Yanga katika ubora wa juu kabisa tangia kuanzishwa kwake lakini tunaomba mungu na sisi angalau tutinge robo fainali
Mkiishia makundi mara tatu mnabatizwa jina la wavikundi.
Mmeanza kujilinganisha na kaka zenu sasa.safi sana.Hujui mpira wewe hao unao waona bora walipigwa mechi mbili mfululizo wakianzia dar wakakandwa tatu kwa moja na raja na bado mechi ya pili wakafumuliwa tena lakini walipita kwenda robo fainali mashindano haya haya tulia uone mpira ni nin sio kukurupuka tu..
Utafungwa jela miezi sita kwa kuicheka timu inayotamani kucheza na malaika.Kuwa makini sana.🤣🤣🤣🤣🙏Bwahahahahaha hshahahallllllll
Jina linasadifu ulilosema..Mmeanza kujilinganisha na kaka zenu sasa.safi sana.