Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Simba ilitinga robo fainali klabu bingwa Africa mara nyingi mfululizo, hadi kuipandisha ligi ya Tanzania na kwenye chati na kuwa moja ya ligi bora Africa, Yanga tukadhani ni kitu kirahisi tukabeza na kuanza kuwaita Mwakarobo
Leo hii naona ugumu wa kazi waliyokuwa wanaifanya Simba, Yanga katika ubora wa juu kabisa tangia kuanzishwa kwake lakini tunaomba mungu na sisi angalau tutinge robo fainali
Leo hii naona ugumu wa kazi waliyokuwa wanaifanya Simba, Yanga katika ubora wa juu kabisa tangia kuanzishwa kwake lakini tunaomba mungu na sisi angalau tutinge robo fainali