Mimi mkataa ndoa naangamia rohoni: Nishaurini ili nipone

Una wenge kinoma, huwezi kusaidiwa kwa wenge lako. Punguza wenge calm down. Angalia mambo katika angle zote. Biashara ina faida na hasara na kazi ina faida na hasara. Watu wana biashara kumi huko na bado wametulia wewe duka sijui frame ya nn unaona mpaka kazi ni mzigo ?? Acha kiburi cha vijipesa hivyo. Unataka kuhama tengeneza mazingira mazuri watu wa sign uhamisho. Wewe unaonekana umejaa jazba kiburi na majivuno, jishushe wahi kazini alafu tengeneza mipango fasta tu unahama. Mambo ya ndoa sijui watoto sio muhimu kama uko mbali nao.
 

Uko vizuri.
ila muda mwengine being optimism
Pesimisimu..!! HAILIPI.

Bwana awe nawe.

#YNWA
 
Fanya kufunga mifumo ya utambuzi kwenye biashara yako. Tumia teknolojia kama ni duka funga CCTV, weka scanner ya bidhaa, weka mazingira kiasi kwamba utajua mfanyakazi kama yupo au hayupo muda wowote na utajua mauzo ya siku bila kuuliza. Ingia gharama ufanye hivyo upunguze stress za kuona unapoteza usipokuwepo
 
Unaichukia kazi kwasababu ya ulichofanyiwa ukasimamishwa..... Fungua Branch ya biashara yako hapo hapo Halmashauri uliyopo , hlf play smart Halmashauri wanaongoza kwa kufixiana. Walimfix jamaa yangu akapigwa frastruation mpaka tumezika 😭😭😭
 
Hivi siku ukiugua ghafla (siombei hivyo) nani anakusaidia? Au bado unakaa kwenu? Kuna umri ukifika ni dhairi shairi kwamba angalau uwe na msaidizi wa kutoa msaada endapo kitatokea chochote hasa kinachohitaji privacy yako.


Ukiugua kwa mfanyabiashara biashara ndio inaenda kufa, usimamizi unakuwa haupo, ngoja niongezee…

Kwanza mkuu aelewe, kuwa katika maisha hakuna kufaniisha kitu ki “ONE MAN ARMY” hasa biashara ambapo kuwa na network ni muhimu.

Pili, hata Waarabu unaona ukoo na ukoo wanaendeleza utajiri kuna zile orientation practically zinafanywa kutoka kizazi to kizazi, hapa lazima atafute mtu wa karibu mwenye uchungu na maono yake, anytime anapokuwa hawezi kusimamia kazi zake.

Tatu, Seems alipata good start biashara ikaita, sometimes unaweza kuta everything umefanya kwa ufanisi ila biashara inagoma, unapanga na mungu anapanga( kwa wale wanaoamini mungu) so kuacha kazi sio chaguo zuri, kazi inakua back up.

Nne, Tunashauriwa kuwa na multiple incomes, anzisha biashara nyingine ambayo unaona unaweza kuisimamia 100% while uko naendelea na majukumu yako kikazi, si busara kuacha kazi kabla ya kuongeza aina nyingine ya kipato.
 
Sina ushauri ila sasa nimeelewa kwanini serikali ina wafanyakazi wengi inaowalipa mishahara lakini hakuna wanalofanya kwa sababu wanajua hawawezi kufukuzwa.
Ndio maana unaenda kwenye ofisi ya serikali badala mtu akuhudumie yuko busy na simu hajali maana anajua mshahara utakuja tu.
Poor Tanzania...
 
Kuna jinga moja zumbukuku hivi kiazi kiande ntobe kabisa " alitem bijijii kwa karanga z kuonjeshw" bure kabisa box box box ambalo linakataa ndoa
 
Usiache kazi kwa Sasa bado hujafikia u mature wa kuacha kazi wanaoacha kazi hawaji kuandika thread ukiona unasita kuacha kazi usijaribu kuacha

Nakwambiaje you will walk alone

Na utakumbuka hii comment
 

Very poor.

Mungu akubariki.

#YNWA
 
Ni liacha kazi ya serikali 2009 kila mtu ali nishagaa, ila ni lifanikiwa wote nilio acha kazini na wazidi wawili ni mewajili, ila na kushauri kama huna nyota ya biahara usiache kazi yako biashara ni kamari.....mimi i was born lucky sio kwa ujanja wangu, wengi wame acha wamejutia jitathimini mwenyewe nyota yako iko wapi
 
Unakosa faraja ungekua na mke angekupa faraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…